Naomba ushauri tafadhali....

Naomba ushauri tafadhali....

Sasa shosti hapo unataka ushauri gani tena,wakati umeshasema hata weekend ukienda mnagombana?sasa uko tayari mgombane maisha yote mtakayo ishi au mmalizane sasaivi na ujipange upya?
au likua unataka kusikia stahmili wanaumewengine ndio walivyo zidisha maombi? lakini akili kichwani mwako ila kama ulosema ndio alivyo basi hapo ukiolewa na yeye ujue umekoga vumba.............

Asante promiseme kwa ushauri..
ntazidisha maombi.
Wanaume hawatabiriki hatukuwa hiv.
 
sidhani kama atakufaa, kama maisha yenu kabla ya ndoa yapo hivyo.. Mkiingia ktk ndoa itakuaje? Fikisha hili jambo kwa wazee na uwaambie umeamua nini.. Kama ni heshima tayari kashajivunjia mwenyewe na ya kwako pia.

Asante....
 
sidhani kama atakufaa, kama maisha yenu kabla ya ndoa yapo hivyo.. Mkiingia ktk ndoa itakuaje? Fikisha hili jambo kwa wazee na uwaambie umeamua nini.. Kama ni heshima tayari kashajivunjia mwenyewe na ya kwako pia.

Asante.....
Kwa ndugu na rafiki anajulikana kama mtu mmoja mstaharabu sana na hashauriki na mtu yoyote...
 
Akikuta namba ya baba mkwe wake mtarajiwa ana mind kwa kuwa tu mi mwanaume.Na wanaume ndivyo tulivyo: mtuhumiwa mimi lakini anayefanyiwa upelelezi bibie.

tabia yake ikiwa hivo ya uzinzi basi anadhania kila mtu ni mzinzi..........

ukute ye sim yake hataki ishikwe
 
mapenzi upofu

na sie wanawake sijui nani alituroga
 
Kuna aina nyingi za mapenzi. Mapenzi yenu ni ya kugombana-gombana. Mkikaa muda mrefu bila kugombana hamjisikii sawa. Ugomvi ni sehemu ya mapenzi yenu. Kama uamini, chunguza sababu zinazowafanya mgombanae kama ni za maana.

Hatuaminiani na nikienda sehem ntakuwa naulizwa muda wote narudi saa ngapi na kununiwa juu wakati yeye anaenda popote haijarishi kanambia au lah....
 
Uchumba au kutambulishana si ndoa dada kumbuka. Binafsi nadhani pamoja na kumpenda na hatua mlizokwisha chukua bado na wewe yakupasa ujipende na hiyo ni pamoja na kuwa na mtu anayekupenda na anayekuheshimu

Mara nyingi tunaingia kwenye matatizo ya mapenzi kwa kudhani mwenzetu atabadilika, mwisho wake inakuwa majuto ukiwa tayari uko ndani.

Mimi nadhani Mungu kakuonyesha aina ya mwanamme unayetaka kuolewa naye mapema sasa amua kuvaa au kuvua

Asante sana....
 
Nahisi kama umefanywa ndondocha au akili yako haina akili....

Wanawake wengine huwa mnakera sana, ngoja sisi wanaume tuendelee kuwatumia tu hadi akili ziwakae sawa.

Asante watu8

Usichokipenda usimfanyie mwenzio....
 
.eti "najitahidi sana kufanya kila atakacho hata kama ni cha kunionea ambavyo hamna mwanamke ambaye angemvumilia wakati huo huo" hata kama hujafunguka zaidi yaonekana umezoea KUDHARIRISHWA na unaona ni sehemu ya maisha yako, UTU wa mtu una thamani yake dada na ndoa hujengwa kwa misingi ya amani na mapatano yaliyoridhiwa pande zote mbili, sasa kama we ni kutoa tu na hata usipokee toka kwake nakwambia ipo siku hiyo akaunti yako itaisha afu mkaachana wakati mmefika mbali, ni bora ung'atuke sasa naamnini yupo wa kukufaa ukiiendea njia sahihi: "WAWILI WASIPOPATANA HAWAWEZI KWENDA NJIA MOJA"

Asante...
 
akishika sim yako tu mnagombana anakuta nini huko!!!!!!!!!!!!

au wewe hupendi hiyo tabia yake ya kushika sim yako

by the way Long distance relationship aren't that easier
thnx mamii
hakuna kipya my dia atauliza huyu nani kwanin anakutumia msg usiku yaan anajua sana kufikiria vitu na kuviweka utadhani nimetenda tofauti hasa akiona mwanaume nikipigiwa sim atataka kujua naongea na nani hata kabla sijamaliza kuongea
 
Nimekuwa na mahusiano takribani miaka 5 sasa tatizo ni huyu mwanaume wangu ambaye sasa ni mchumba kutokana na familia zote mbili zinafahamu kuhusu uchumba wetu kwa bahati mbaya tunakaa mikoa tofauti.

Kitu ambacho naomba ushauri hapa ni kuwa huyu mtu najitahidi sana kufanya kila atakacho hata kama ni cha kunionea ambavyo hamna mwanamke ambaye angemvumilia wakati huo huo amenifanya nisimwamini kwan nishamkuta na matukio kadhaa ambayo navumilia sana nikijua mwenzangu atajirekebisha sasa imefikia hatua hatuwezi kukaa wiki hatujagombana na tukitembeleana cha kwanza kushika sim yangu yaan hapo tutagombana mpaka hiyo wikiend inakuwa chungu unatamani asingekuja au nisingeenda na ameshaji engage na wasichana ambao tukiwa wote anawablock ili nisijue kinachoendelea bahati mbaya hata afanye hivo watamtafuta tu hata kwa namba nyingine wapendwa nahitaji ushauri wenu yaan naumia sana coz nimemrekebisha nimechoka na vitendo vya yeye kutaka afanyiwe anachotaka afu ye anafanya tofauti nimechoka.

Nimefikia hatua ya kuleta hapa coz cna wa kumueleza coz hataki hata hao rafiki zake niwaambie chochote kuna kaka ake nilikuwa namueleza nahisi amenichoka so naumia sana kukaa navyo naogopa kumueleza ndugu yangu wa karibu coz napenda aendelee kuheshimiwa kusiwe na chuki.

NAMPENDA NA ANALIJUA HILO

NB. Ushauri tafadhali naolewa soon na huyu mtu.

Usikubali kuolewa nae kwani matatizo mara nyingi yaanze wakati wa ndowa na sio kabla ya ndowa!
 
Kugombana kwa sababu ya usaliti hiyo ni serious issue sio ya ku symplify kuwa maisha yao ni ya hivyohivyo.Wangekuwa wanagombana kwa visababu vidogo sawa. Dada anapaswa atafakari mstakabali wa uhusiano wao..Kimsingi kama walivyoshauri wengine ni vema asitishe uhusiano wao. Kwa kuwa anampenda hii si hatua nyepesi kuchukua lakini kwa kupima faida/hasara za kuendeleza uhusiano huo, kuachana yaweza kuwa the best solution, at least kwa sasa.

Asante.... naweza nikasema tuachane hata nikiwa mbali atapanga safari muda huo huo kuomba msamaha na kusema hatorudia na hayuko tayari kunipoteza.
Huwa nasema labda anadhani na mimi nafanya ndio maana ananifanyia hivo. Anyway thnx alot
 
Tatizo liko Hapo kwenye REDI... akikuoa ujue unaenda kuwa mfanyakazi wake...WATAMFAIDI WENGINEEEE... Utakuja kushuhudia siku hapa.. I bet...

Wanaume wapo wengi... kujitambulisha isiwe kitanzi kwako...

Thanx kwa ushauri...
 
sasa dada sisi tukushauri nini? wakati kila kitu kipo wazi jamani....!!! ok kama unataka ushauri basi endelea nae tu hayo ni mambo ya kawaida tu katika uhusiano siku hizi.
 
NAMPENDA NA ANALIJUA HILO
Dada huna pa kuupeleka huu upendo wako unakostahili?
Hujui kuwa kuna watu watauheshimu na kuuthamini huu upendo wako?
Mbona unaudhalilisha namna hii huu upendo?
NB. Ushauri tafadhali naolewa soon na huyu mtu.
Kosa kubwa sana ambalo hua mnajidanganya ni kuwa mnadhani kuwa kuna mtu anaweza kumbadilisha yoyote yule

Ukweli ni kwamba hakuna mtu anaeweza kumbadilisha yoyote yule

Mtu hubadilika mwenyewe akitaka

Kama kuna mtu ambae amembadilisha mtu basi ujue huyo aliyebadilika ni kwasababu za woga fulani tu na siku huo woga ukiisha utaziona rangi zake

Dada sasa mko kwenye uchumba na umeona vituko na unyanyasaji mkubwa kiasi hicho halafu bado unataka kuingia kwenye hiyo ndoa,au unataka kufa?

Kudhani kuwa mtu atabadilika ni kujidanganya dada yangu

Ngoja nikupe siri moja kubwa sana,duniani kuna wajinga wakubwa na wengi sana ambao wao kupendwa ni ishara ya ujinga,hivyo ukimpenda mtu wa aina hiyo ni sawa na kuweka chakula kitamu mbele ya mwendawazimu ataishia kukimwaga chini chakula hicho na kwenda kula jalalani

Huyo bweg.e [samahani kwani sina namna nyingine ya kumuita] anajua kuwa unampenda ndio maana anafanya hayo madudu

Onesha msimamo kwa kufanya yafuatayo:
Sitisha uchumba

Sitisha mipango ya ndoa

Acha kumtembelea

Katisha mawasiliano naye

Yote hayo yafanye kimya kimya,najua utajisikia maumivu sana lakini usiogope wala kutetereka kwani hata sindano nayo inauma lakini inakuponya

Ukiona unapita muda na hakutafuti endelea na maisha yako

Akija kukutafuta mkaushie kwanza hadi umuone ameteseka vya kutosha maana watu wa aina hiyo huwa ni dhaifu sana,kisha kaa nae chini na umuambie namna unavyohitaji mahusiano yenu yawe,kisha weka time frame ya kumkagua

Time frame ni muhimu kwakuwa hao hawakawii kurudia madudu yao,ukimuona amejirekebisha fungua taratibu za ndoa,ukiona hafai tupa kule!!
 
akishika sim yako tu mnagombana anakuta nini huko!!!!!!!!!!!!

au wewe hupendi hiyo tabia yake ya kushika sim yako

by the way Long distance relationship aren't that easier

Kwahiyo unampango wa kunipiga kibuti?

Niambie kabisaa mapema nifanye yangu!!
 
Anakuchezea akili huyo kwa sababu anakuchukulia kimazoea (for granted)

Tunapokosea kwenye mahusiano ni pale mtu unapojidai huwezi kuishi pasipo mwingine... mtu na akili zake eti.. 'am CRAZY over you'' 'bila wewe siwezi ishi'' etc...... japo yawezekana iko hivyo kwa aina flani... kumuonesha mwenzako kwa kiasi kikubwa unachangia kumbwetesha... sijui kwa nini lakini

Asante.... naweza nikasema tuachane hata nikiwa mbali atapanga safari muda huo huo kuomba msamaha na kusema hatorudia na hayuko tayari kunipoteza.
Huwa nasema labda anadhani na mimi nafanya ndio maana ananifanyia hivo. Anyway thnx alot
 
ushasema hakuna mwanamke anaeweza kuvumilia imekuaje wewe unavumilia??????? ukishaingia kwenye ndoa dad angu hata ukija kutoka ile ndoa itakuandama maisha yote sasa hakuna medal unayowania hapo utaishia kushindwa tu kabla ya mbio before its late KUMBUKA WANAUME ATA AKIWA NA 50 ANAOA ILA KWAKO WEWE ITAKUA NGUMU KUOLEWA USIPOTEZE MUDA KUKAA MIAKA MINGI KWENYE RELATION HAIMAANISHI MTAISHIA KWENYE NDOA ALAFU LONG TERM RELATIONSHIP SI NZURI MIAKA MIWILI KWENYE UCHUMBA YATOSHA SANA SA NYIE MITANO SI SAWA NA NDOA NA MTU KASHAICHOKA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom