Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,758
- 24,717
- Thread starter
- #21
🙏🏿Ondoka hapo nyumbani
🙏🏿Ondoka hapo nyumbani
🙏🏿Ondoka hapo nyumbani
🧢🙏🏿Fanya unachoona ni sahh mtu asikufamye ujckie hufai unajua namna unavyopambana appreciate yourself kwanza achana na walimwengu hata kama ni mama yako
SurePole mkuu. Kuna aina ya wazazi hawajui kusimama na watoto wao bega kwa bega utadhani uliwaandikia barua kuwaomba wakuzae.
NaendeleaNyeto bado unapiga au umeacha?
Hana akiliDii kak umeshauri nn sas! Bang mbaya jmn
InterestingPiga tena kazi za zege uhame hapo nyumbani Muache peke yake
Ahsante mkuuUsiuze shamba wala nyumba, chakufanya hapo tokomea kusikojulikana kapambane na maisha, ukipata chochote kitu wekeza kwenye miradi mingi mingi. Ila usimsahau , huyo ni mama yako mkuu ukipata pesa mtumie wala usimuwekee kinyongo, kapambane kwa hasira zote maana unapo simangwa ndio na akili ya utafutaji inakuja.
Sawa🙏🏿Ni hali ya kawaida kuwa na mgogoro na wazazi hasa katika kipindi ambacho huna kitu na unakaa nyumbani
Hata ndugu ukitaka uelewane nao usikae nao karibu hama hapo katafute maisha sehemu nyingine
mhhMpige miti aweke heshima.
Sawa ni mama yako ila haina namna!
Huu ushauri umenigusa🧢🙏🏿Kama mama yako mzazi anakuambia ayo maneno uza shamba muachie nyumba fanya kuondoka hapo
Wewe ni mwanaume ela uitumie vizuri
Hivi huu ushauri huwa mnatoa mkiwa katika hali gani?Mpige miti aweke heshima.
Sawa ni mama yako ila haina namna!
Katika hali ya kufumuliwa marindaHivi huu ushauri huwa mnatoa mkiwa katika hali gani?
Ahsante mkuupole sana mkuu. kwanza usiongee naye chochote kaa kama siku 2 hivi ukishatulia tafuta nauli uende mkoa mwingine ukapambane.
Kumbe mnafahamianaNyeto bado unapiga au umeacha?