Ulipigwa kama wale jamaa wa kikuuMm nimenunua xiaom redmi 9C kwa 340000 box lake hakuna ata earphone camera ya nyuma ndo majanga zaid picha mbovu balaa
Huyu alipgwa vibaya yani Kwanza hyo beiUlipigwa kama wale jamaa wa kikuu
Hyo hufai kulipa zaid ya 270kBei huwa ngapi?
kununua infinix au tecno kwa 500k ni matumizi mabovu ya pesa.Ndugu yangu nakushauri nunua Infinix Note 10 Pro. Inauzwa Zenji 500,000.00 ile simu nzuri hutojuta hata kidogo
Bila shaka unamaanisha MTK za itelPocco F3 pro ni bonge moja la simu chipset ya snapdragon ni kisanga achana na kina MTK na Helio wanazingua
Naomba unielekeze wapi wanauza hizo Xiaomi redmi note 10 kwa 400k nahitaji hiyo simu seriousBajeti hii unapata redmi note 10
Ni Kwa kuagizia AliExpress.Naomba unielekeze wapi wanauza hizo Xiaomi redmi note 10 kwa 400k nahitaji hiyo simu serious
chukua itel mkuu.Ni Kwa kuagizia AliExpress.
Bei Kwa Leo 404,647.38 nauli ni karibu 15,000
TZS 404,647.38 22%OFF | [World Premiere In Stock] Global Version Xiaomi Redmi Note 10 Smartphone Snapdragon 678 AMOLED Display 48MP Quad Camera 33W
Naomba contacts za Duka la Kenya.Sababu Xiaomi wanaleta wenyewe Kenya, Aliexpress unanunua kwa wajasiriamali wa kichina.
Kampuni inapoleta kitu yenyewe wanaconsider mambo yote hayo ya kodi etc ili kufanya bei isiwe tofauti sana na kwengine.
Wamesacrifice camera kwa ajili ya perfomance....Pocco F3 pro ni bonge moja la simu chipset ya snapdragon ni kisanga achana na kina MTK na Helio wanazingua
Naomba contacts za Duka la Kenya.
Kama upo nairobi nenda Bihi towers , nairobi cbd. Floor ya tatu , room number 2 ndio lipo duka la xiaomiNaomba contacts za Duka la Kenya.
SawaaContact Us - Avechi Kenya | Online shop for smartphones and electronics
Phone Support Contact our customer service team via phone or whatsapp on: 0701 10 10 10. Visit us Pioneer House, Moi Avenue (above Quickmart Pioneer) 4th Floor Shop 402, Nairobi Business Hours Mon to Fri: 8am to 7pm, Saturday: 8am to 6 pm, Sunday & Public Holidays: Closed Our FAQs Get an answer...avechi.com
Hiyo ofa inapatikana wapi?Chukua Xiaomi note 10 kwa bei ya ofa ya shilingi laki 420000
Kwa Sisi tuliopo hapa karibu na Sirari border si tunaweza kuzipata madukani pale upande wa Isebania au mpaka tufike Nairobi?Kuna option mbili moja ni kwenda direct nairobi kama una mishe za kule , ya pili unaweza ukawaagiza kwa whats up, watakupa mpesa paybill number yao then unalipa kama kawaida kupitia mtandao wowote wa hapa nyumbani, then wana uwezo wa kuileta simu kwa adress yotote namanga boarder kupitia fargo courier. Kutoka hapo unaiagiza kwenye basi lolote unaipokea. Mjini hapa.
Duka lipo Nairobi CBD, kwa sirari unaweza kununua kwa mpesa kenya paybill number wanakutumia hapo hapo , ila utaipokelea upande wa isebaniaKwa Sisi tuliopo hapa karibu na Sirari border si tunaweza kuzipata madukani pale upande wa Isebania au mpaka tufike Nairobi?