Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,836
Sasa hivi Google anacopy tu features za skin za android na ku implement kwenye stock.Hakika. Hasa ukizingatia ile Pixel experience sasa hivi iko chini sana na OnePlus wametuuza android skin ninayoona iliyobaki inayoboreshwa vizuri kila siku ni One UI.
Nina miliki Pixel kwa sasa ila nina shawishika kuchukua Samsung niijaribu UI yao.
Sema kama umezoea stock hizi miui na one ui unaweza usizipende.
Motorola, Pixel, Nokia, BBK (oneplus, vivo na oppo), Sony, Asus na baadhi ya gaming phone wana stock like Experience.