Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

Ndugu yangu nakushauri nunua Infinix Note 10 Pro. Inauzwa Zenji 500,000.00 ile simu nzuri hutojuta hata kidogo
 
s-l1600.jpg
 
Sababu Xiaomi wanaleta wenyewe Kenya, Aliexpress unanunua kwa wajasiriamali wa kichina.

Kampuni inapoleta kitu yenyewe wanaconsider mambo yote hayo ya kodi etc ili kufanya bei isiwe tofauti sana na kwengine.
Naomba contacts za Duka la Kenya.
 
Naomba contacts za Duka la Kenya.
Kama upo nairobi nenda Bihi towers , nairobi cbd. Floor ya tatu , room number 2 ndio lipo duka la xiaomi
Incase haupo Nai , huwa wana uwezo wa kukutumia simu kama parcel hadi namanga Kenya kupitia kampuni ya fargo courier, hapo utaorganise mtu wa kupokea na kukutumia

+254 722 708373 unaweza what's up namba hiyo uulizie , ndo namba yao direct dukani
 
Kuna option mbili moja ni kwenda direct nairobi kama una mishe za kule , ya pili unaweza ukawaagiza kwa whats up, watakupa mpesa paybill number yao then unalipa kama kawaida kupitia mtandao wowote wa hapa nyumbani, then wana uwezo wa kuileta simu kwa adress yotote namanga boarder kupitia fargo courier. Kutoka hapo unaiagiza kwenye basi lolote unaipokea. Mjini hapa.
Kwa Sisi tuliopo hapa karibu na Sirari border si tunaweza kuzipata madukani pale upande wa Isebania au mpaka tufike Nairobi?
 
Kwa Sisi tuliopo hapa karibu na Sirari border si tunaweza kuzipata madukani pale upande wa Isebania au mpaka tufike Nairobi?
Duka lipo Nairobi CBD, kwa sirari unaweza kununua kwa mpesa kenya paybill number wanakutumia hapo hapo , ila utaipokelea upande wa isebania
Fargo courier wataku charge ksh 750 kwa shipping kutoka Nairobi to isebania.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom