Upo sahihi mkuuWazo zuri sana, tatizo ni urasimu tu na wivu hapo wataanza milolongo isiyo na tija mradi tu waone huingizi vifaranga au mayai. Kama kuna wepesi hata mimi nitawaleta kutoka huko niwafuge kabla mwaka haujaisha. Ni mradi wa ndotoni shida ni milolongo tu
Jpm mwaka jana aliwaambia waache maurasimu watu wafuge wanyamapori wafungue mabucha wauze. Nahisi huo mpango wameshautelekeza, yaani mbegu washindwe kutuuzia, kuagiza nje napo vikwazo lukuki. Kama hakuna longolongo naagiza mbuni wasiopungua 100 soon as possiblePia mzee asian ostrich sijui kama wataweza kufanya vyema mazingira ya kwetu. Kenya aina zinazofugwa ni aina mbili.1. Masai ostrich. 2. Somali ostrich. Unaweza kusafiri kwenda kenya ukajifunza hilo jambo vizuri zaidi.
Sikulijua hili, utaratibu wa kuuza upoje na bei zakeKwanini usinunue hapa Kibaha Kuna mtu anafuga na unaweza kujifunza pia.
Vyote mkuuUnataka mayai au vifaranga?
Nitaendae kuulizia bei.nitakupa jibu.Vyote mkuu
Asante mkuu, napenda kufanya vitu vya kipekeeN
Nitaendae kuulizia bei.nitakupa jibu.
Ila wanahitaji eneo refu kwa ajili ya kukimbia kimbia.Asante mkuu, napenda kufanya vitu vya kipekee
Ni kweli kabisa, kuhusu eneo si tatizo ninayo makubwa mengi mikoani. Ukienda super market za nje unapata kila aina ya nyamaIla wanahitaji eneo refu kwa ajili ya kukimbia kimbia.
Kuna nchi Afrika magh.nimeisahau Ila habari yao ipo You tube wanawafuga halafu wanauza Ulaya Wana soko sana.