Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS

Matindi94

Member
Oct 12, 2016
46
43
Habari za humu wanajukwaa

Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS je maana sijawah kuagiza kwenye platform hii mm huwa natumia KIKUU kuagiza vitu vidogo vidogo kama memory,flash,eaphones tu

Ubora wao bidhaa zao ni halisi kama zinavyookenana kwenye descriptions zao
Na inachukua muda gani kukufikia tangu umeagiza
Na je wanatumia njia gani kusafirisha hadi inifikie

MFANO HII SIMU HAPA JE INAWEZA KUWA ORIGINAL NA INA KILA KITU KINACHOONYESHWA HAPA MAANA NATAKA NIAGIZE
Screenshot_20210808-184835.jpg
Screenshot_20210808-184757.jpg
 
Hizo simu kwenye picha hazina specifications zilizoonyeshwa. Huwezi kupata simu ya 5G Kwa 130k, na huwezi kupata simu yenye space ya 128gb na ram 6gb Kwa 165k.

Japokuwa ukinunua utaona storage ipo Kwa ukubwa ulioandikwa Ila ukidownload ama kuweka app na file chache space inajaa.

Soma review kabla ya kununua. Tena review za kuanzia 3 stars na kushuka maana review zingine ni scam.
 
Halafu sijui wanautaalamu gani wa kupiga picha wanatupiga picha kitu mpaka unaingingia laini lakini kiuhalisia unakuta kitu hiko hakiko kama ilivyo kwenye picha.
 
Usipende kununua masimu yaliyotengenezwa na watengenezaji wasioeleweka utapoteza tu hela zako hayo masimu ni matakataka search simu kama nokia, Samsung na nyinginezo zinazojulikana.Kuagiza tu haina shida,mzigo utaupata bila shida mimi nimeshawahi kuagiza miniature camera kutoka ali Express nikaipata.
 
Habari za humu wanajukwaa

Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS je maana sijawah kuagiza kwenye platform hii mm huwa natumia KIKUU kuagiza vitu vidogo vidogo kama memory,flash,eaphones tu

Ubora wao bidhaa zao ni halisi kama zinavyookenana kwenye descriptions zao
Na inachukua muda gani kukufikia tangu umeagiza
Na je wanatumia njia gani kusafirisha hadi inifikie

MFANO HII SIMU HAPA JE INAWEZA KUWA ORIGINAL NA INA KILA KITU KINACHOONYESHWA HAPA MAANA NATAKA NIAGIZE View attachment 1885459View attachment 1885460
Soma reviews, hiyo simu lazima ni boga.
 
Usipende kununua masimu yaliyotengenezwa na watengenezaji wasioeleweka utapoteza tu hela zako hayo masimu ni matakataka search simu kama nokia,Samsung na nyinginezo zinazojulikana.Kuagiza tu haina shida,mzigo utaupata bila shida mimi nimeshawahi kuagiza miniature camera kutoka ali Express nikaipata.
Kiongozi tusaidie kutuelewesha uliagiza kwa njia gani na ulipokea mzigo kwa njia gani?
Natanguliza shukrani kwa niaba ya mtoa uzi.
 
Mimi mwenyewe juzi nimepata mzigo wangu. Ulitumia wiki 3 Hadi kunifikia.
 
Back
Top Bottom