Naomba mwenye uzoefu wa mradi wa kutotolesha mayai na kuuza vifaranga

rude Boi

JF-Expert Member
Jul 28, 2021
318
552
Wanajamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kichwa Cha habari chahusika.

Ninahitaji kuanzisha mradi wa kutotolesha mayai na kuuza vifaranga. Aliyewahi kufanya hii biashara aje anieleze Nini kinahitajika ili niweze kuanzisha huu mradi, soko likoje, faida na changamoto za huu mradi.
 
Back
Top Bottom