Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 710
- 569
Mimi Ni mtumiaji na muagizaji mzuri wa bidhaa mtandaoni kupitia makumpuni mbalimbali kama Alibaba, AliExpress, Amazon, Rakuten na Kikuu.
Nataka niagize mayai na vifaranga wa Mbuni online.. kwa Alibaba. Nijuze na nishauri sheria za nchi zinasemaje maana nijuavyo kwa Tanzania Mbuni Ni maliasili.. vipi siwezi kuingia matatizoni na Maliasili?