NAOMBA USHAURI: Nataka niagize mayai na vifaranga wa Mbuni mtandaoni

Kaplizer

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
710
569
Mimi Ni mtumiaji na muagizaji mzuri wa bidhaa mtandaoni kupitia makumpuni mbalimbali kama Alibaba, AliExpress, Amazon, Rakuten na Kikuu.

Nataka niagize mayai na vifaranga wa Mbuni online.. kwa Alibaba. Nijuze na nishauri sheria za nchi zinasemaje maana nijuavyo kwa Tanzania Mbuni Ni maliasili.. vipi siwezi kuingia matatizoni na Maliasili?

A%2B%20Gallery_4.jpg
 
Wazo zuri sana, tatizo ni urasimu tu na wivu hapo wataanza milolongo isiyo na tija mradi tu waone huingizi vifaranga au mayai. Kama kuna wepesi hata mimi nitawaleta kutoka huko niwafuge kabla mwaka haujaisha. Ni mradi wa ndotoni shida ni milolongo tu
 
Upo sahihi mkuu
 
Mkuu kama lengo lako ni kufuga mbuni kuagiza mayai kutoka nje hautaruhusiwa. Procedure zake ni nyingi sana. Tukianza na requirement ya mahali unapokwenda kuwaweka hao mbuni. Hiyo farm yako lazima ipate kibali na wajiridhishe una uwezo wa kuwafuga na kuwahudumia ipasavyo.
 
Pia mzee asian ostrich sijui kama wataweza kufanya vyema mazingira ya kwetu. Kenya aina zinazofugwa ni aina mbili.1. Masai ostrich. 2. Somali ostrich. Unaweza kusafiri kwenda kenya ukajifunza hilo jambo vizuri zaidi.
 
Jpm mwaka jana aliwaambia waache maurasimu watu wafuge wanyamapori wafungue mabucha wauze. Nahisi huo mpango wameshautelekeza, yaani mbegu washindwe kutuuzia, kuagiza nje napo vikwazo lukuki. Kama hakuna longolongo naagiza mbuni wasiopungua 100 soon as possible
 
Tanzania hairuhusu uingizwaji wa mayai au vifaranga kutoka nje isipokuwa kwa kibali maalumu..HYO KITU N KAMA SUKARI MZEE.
 
Ila wanahitaji eneo refu kwa ajili ya kukimbia kimbia.

Kuna nchi Afrika magh.nimeisahau Ila habari yao ipo You tube wanawafuga halafu wanauza Ulaya Wana soko sana.
Ni kweli kabisa, kuhusu eneo si tatizo ninayo makubwa mengi mikoani. Ukienda super market za nje unapata kila aina ya nyama
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom