navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 156
- 167
- Thread starter
- #21
Thanks mkuu, Ila tegemeo langu ni kuwa, baada ya kumaliza master ndio nisake opportunity katika vyuo..maana saiz Nina GPA ya 3.5..naona Kama ngumu kupata chuo Cha kufundsha kwa saizAll in all usitoke nje ya ulichosomea 1st degree, kasome Master of education...
Faida yake ni rahisi kupata kazi vyuo vya kati na vyuo vikuu...
Kama sasa hivi una GPA nzuri kuanzia 3.8 omba kuwa TA ktk vyuo vikuu within a year utakua umepata...
Kama GPA ipo chini ya 3.8 omba vyuo kati...
BAHATI MBAYA ktk ualimu wa secondary au primary hata usome uwe na phd mshahara wako utafuata scale zilezile kama ulikua D basi utangoja zamu ifike uingie E