Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke

Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.

Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
Una jishauri sana juu ya kuoa

Huwezi kumuoa sababu ya mashaka juu ya mtoto alienae

Still bado unapokea na utaendelea kupokea ushauri kua single mama si wakuolewa

Kaka please achana na uyo dada mapema ili umpe nafasi ya kukutana na watakaemkubali na usingle mama wake

Note: wakati unaendelea kujishauri tafadhali usije mpachika mimba ingine

After all nawahurumia ma single mama mana wanaonwa kwa taswira ingne tofauti na baadhi ya watu bila wao kujijua
 
**** jamaa mmoja ameleta huo msamiati mpya wa mbususu.
Kipochi manyoa, nyena, punani, papuchi, mbususu na sasa mchavenga🤣🤣🤣🤣

Nikajua mzee wa papuchi umetuletea msamiati mpya 😂😂
 
Bro acha ujinga. Nyie mnaooa masingle maza hamuwaonei huruma mama zenu kuwapeleka wakamwana wenye mzigo?

Huyo sio wakuoa mzeya wacha kila mtu ale mshahara wa dhambi zake.
Sasa ukute mama ake naye ni singo maza.
 
Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.

Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
Kama mtoto wa kike oa, kama wa kiume 🏃🏃🏃
 
Usioe ni haramu sio kwa sababu za kidini ni kwa mtazamo wangu ni hatar sana huko mbeleni .Narudia mwanamke aliyezaa nje hatakiwa kuolewa labda jamaa yake awe amefariki

Huyo demu jamaa yake siku akimtaka anakuwa kama mbwa kaona chatu atamfuat mwenyewe .kingine kashakuzidi hapo kete ana mtoto wa kumpa jeruri
Usimfanye kijana wa watu ajichokee. We muache ajichukulie haramu yake kwan dunia ya sasa imejaa haramu wengi kama sio mtoa mimba ni mtumiaji wa p2 na sindano za majira au ni mfirwaji, nk

Usiogope mwanamke aliyezaa (single mother) bali ogopa maagano aliyo yaingia kabla ya kumuoa na kwa mwanaume pia hvyo hvyo
 
Sawa mkuu nimekuelewa[emoji120][emoji120]
 
Mimi ni mwanamke lakini siamini kama kuna kuachana kati ya mtu na mzazi mwenzake(sijaandika kwa ubaya)
Huwa tunaongozwa zaidi na hisia japo wapo wenye misimamo

Wewe fanya unachoweza,kama ataamua kuwa muaminifu sawa...ikiwa ni kinyume chake pole in advance
Umeshazaa kwani?

Kuachana na mzazi mwenzio na msirudiane kukutana kimwili mpk kifo inawezekana Sana,, sio wote wanashindwa acheni kujumuisha
 
Usimfanye kijana wa watu ajichokee. We muache ajichukulie haramu yake kwan dunia ya sasa imejaa haramu wengi kama sio mtoa mimba ni mtumiaji wa p2 na sindano za majira au ni mfirwaji, nk

Usiogope mwanamke aliyezaa (single mother) bali ogopa maagano aliyo yaingia kabla ya kumuoa na kwa mwanaume pia hvyo hvyo
Sawa ila haingii akili eti mwanamke kashazalishwa then umuoe
 
Una jishauri sana juu ya kuoa

Huwezi kumuoa sababu ya mashaka juu ya mtoto alienae

Still bado unapokea na utaendelea kupokea ushauri kua single mama si wakuolewa

Kaka please achana na uyo dada mapema ili umpe nafasi ya kukutana na watakaemkubali na usingle mama wake

Note: wakati unaendelea kujishauri tafadhali usije mpachika mimba ingine

After all nawahurumia ma single mama mana wanaonwa kwa taswira ingne tofauti na baadhi ya watu bila wao kujijua
Tunatakiwa kuwaona kama wazinzi ndio tunavyotakiwa kuwaona....tuachane na hizi euphemism za single maza. Hao ni wazinzi period.
 
Mmh!!! Wazinzi period

Anyway wacheze na hatima zao

No way out
 
At least umeongea ukweli
Kuna dada nilizaa nao huko nyuma.
Mmoja kaolewa mwingine hajaolewa.
Huyu ambaye hajaolewa alinambia wazi kabisa kuwa hawezi kuchanganya baba watoto wake.
Huyu aliyeolewa huwa ananitafuta nimuongezee mtoto.!!
Ni changamoto Sana kuoa mke wa mwenzio
Hahaaaaa
 
Back
Top Bottom