Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke

Hili swala huwa lipo wazi kabisa ila tu kutokana na kutanguliza hisia badala ya uhalisia wengi wanaamua kupuuzia.

Hilo swala litategemea kama huyo binti alizaa na jamaa kwa kupenda (kwa hisia za kimapenzi) au aliipata kwa bahati mbaya (hakumpenda jamaa ilikuwa n harakati tu).

Ikitokea alibeba kwakua alimpenda sana jamaa basi ujue hapo hauna chako kabisa, jamaa atafinya mbususu muda wowote akitaka.
 
Kaka hawa walipendana na ndomana wakaingia kwenye mahusiano mbaka mwanamke akapata ujauzito shida ilikuja baada ya jamaa kuamua kutoboa siri aliokuwa akimficha mwanamke kuwa kumbe ana make an familia huko Njee ya nchi apoishi ndo conflict ilipotokea na kupelekea kuachana kila mtu kuendelea na maisha yake
 
Hakuna malaika duniani, wasio na watoto wengine walitoa mimba. Kama unampemda muoe, kama unafanya kosa wewe hutakua wa kwanza duniani kukosea.

Kula kitu roho inapenda.
Mabinti ambao wamejitunza wapo wengi Sana.
Kuliko kuugulia kila siku ni Bora aangalie moyo wake unasemaje.
 
Mimi ni mwanamke lakini siamini kama kuna kuachana kati ya mtu na mzazi mwenzake(sijaandika kwa ubaya)
Huwa tunaongozwa zaidi na hisia japo wapo wenye misimamo

Wewe fanya unachoweza,kama ataamua kuwa muaminifu sawa...ikiwa ni kinyume chake pole in advance
At least umeongea ukweli
Kuna dada nilizaa nao huko nyuma.
Mmoja kaolewa mwingine hajaolewa.
Huyu ambaye hajaolewa alinambia wazi kabisa kuwa hawezi kuchanganya baba watoto wake.
Huyu aliyeolewa huwa ananitafuta nimuongezee mtoto.!!
Ni changamoto Sana kuoa mke wa mwenzio
 
Mbona kama waandika huku watetemeka?

Kama mmependana oa tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi ni mwanamke lakini siamini kama kuna kuachana kati ya mtu na mzazi mwenzake(sijaandika kwa ubaya)
Huwa tunaongozwa zaidi na hisia japo wapo wenye misimamo

Wewe fanya unachoweza,kama ataamua kuwa muaminifu sawa...ikiwa ni kinyume chake pole in advance
Asante kwa kuongea ukweli
 
Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.

Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
Bro acha ujinga. Nyie mnaooa masingle maza hamuwaonei huruma mama zenu kuwapeleka wakamwana wenye mzigo?

Huyo sio wakuoa mzeya wacha kila mtu ale mshahara wa dhambi zake.
 
Habari wanajamii,

Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania.

Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu nilikua najua lakini alikuja kunieleza ukweli kuwa ana mtoto mwanzo sikujua nayeye hakutaka kunificha akaamua kunieleza ukweli. Nikahitaji kujua kiundani zaid ilikuaje

Kweli alikuja kukaa na mimi na kuanza kunieleza ukweli kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa akaja kupata ujauzito then baada ya kujifungua yule jamaa ikabidi amueleze ukweli kumbe jamaa alikuwa na mke na watoto wa2 na jamaa hakai Tz anakaa nje ya nchi na familia yake so ikabdi jamaa amueleze ukweli huyu mwanamke baada ya hapo ndo ikatoka conflict kati ya jamaa na mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke na kupepelekea kuachana na jamaa akaamua kuondoka kuludi nje anakokaa coz huyu mwanamke alimwambia jamaa sahau kama una mtoto na mimi.

Bas mwanamke akaanza kumlea mtoto mpaka now mwenyew na mpaka nilipokutana nae na kujikuta tumeingia kwenye mahusiano.

Kiukweli tushafanya mengi na tuna malengo mengi now nataka kumuoa kabsa lakini hofu yangu juu ya kumuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume naogopa coz changamoto huwa ni nyingi sana na je? Nawaza jamaa siku akija kurudi tena yaani sielewi mambo nimengi kiukweli.

Naomba mnishauri nduguzangu ilinijue nafanyaje kabla sijaingia kwenye matatizo hapo baadae na changamoto za kuoa single mother.

Kwenu wakuu nasubili ushauri wenu..
Wakati hufahamu kama sna mtoto hukuwa na tatizo sasa baada ya kufahsmu nini kimeongezeka au kupungua?
 
Back
Top Bottom