jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika

- Kuna uwezekano mdog sana wa kutunguliwa.
- Kariri namba ya safari yako, flight number, ukifika Amstedarm angalia kwenye monitors. Boarding pass yako imeandikwa flight number, seat number na hata gate utakayopandia.
- Utaulizwa kama unataka msosi upi. Kwa kawaida hakuna vyakula tofauti sana.
Kwa hiyo JF ni maulizo siyo....!!!??? Au ndo unatujulisha kuwa unakwenda nje....???? Shit...!!!!
Angalia usije ukatupa takataka uwanja Wa ndege utakaamatwa
mh,umenitamanisha.natamani siku moja namie niende ulaya jamani
Ni wiki ijayo,naondoka na klm
Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli?
Pili Ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine?
Na msosi nitaagizaje kwenye ndege na misosi ya kizungu siijui majina.
Msaada jamani.
Jembe la afrika
Bavaria umenivunja mbavu...mimi nina hasira na wenga acha tu.kumpanga Campbell wakati hawezi?na kama nitakutana na FA nataka niwaulize,morinyo Ni mzungu au Ni mswahili?anamdomo anamzidi khadija kopa na mashauziUsifakamie chakula usichokijua.
Usile chakula utakachopewa na jirani yako.
Tafuta cha kukuweka busy kama novel, movies, music. Ukikaa idle sana utaboreka.
Ukifika Manchester msalimie Van Gaal. Mwambie aache undezi wa kumpanga Rooney kila mechi.
Kwenye uwanja wa ndege kuna watu kibao wa kuwauliza. Wale wanaoendelea na safari watakuwa na mlango wao wa kuingilia. Onesha ticket yako watakuonesha. Ule uwanja wa Schpol ni mkubwa sana. We sema tu Manchester. Watakuelekeza mahali pa kwenda.
Bavaria umenivunja mbavu...mimi nina hasira na wenga acha tu.kumpanga Campbell wakati hawezi?na kama nitakutana na FA nataka niwaulize,morinyo Ni mzungu au Ni mswahili?anamdomo anamzidi khadija kopa na mashauzi
Hivi naruhusiwa kuingia nchi za ulaya nikiwa sijui kiinglishi kabisa! Swali binafsi tu