NAOMBA USHAURI NA MAWAZO YENU KATIKA HILI

Nipo mbali nae, ninachohitaji ni kujua mazingira ambayo naweza kuyatengeneza ili kuepuka kutumia nguvu kubwa
Kwa hiyo mtongozo unataka kuufanyia kwenye simu!!??? Si jambo jema. Onyesha uko serious kwa kuzungumza nae ana kwa ana. Nenda aliko, usifikirie sana kuhusu gharama. Tunapoteza sana hela katika harakati zetu za maisha. Ifanye hii pia kuwa ni sehemu ya harakati
 
Akhasante saana Mkuu. USHAURI waako ntaufanyia kazi na if God wish ipo siku ntakuja na mrejesho hum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom