NAOMBA USHAURI NA MAWAZO YENU KATIKA HILI

Me nadhan ni vyema ukajenga ukaribu nae kwa muda mrefu ili uweze kujiridhisha kwanza kabla ya kuweka wazo lako tarajiwa so ukizingatia hili sidhan kama mambo unayotarajia yataenda kombo
 
Usiogope mkuu yeye n mtu mzima na wewe pia.Mpigie mueleze nia yako ya kutaka kuanzisha safari ya kwenda ndoani naye atakuelewa.
Kukataliwa si dhambi sisi ni wanaume na kuna kupata na kukosa.
Ila make sure una chimba file lake kitaa kwao huko usije lishwa tango mwitu.
 
Mwanamke atabehave the way Unavyomchukuliaa si jinsi alivyoo...!! sasaa wewe jikute unamuonaa mtakatifu Sana akati humjui vizuri... Me nlipata Kama huyoo ni mshikaa dini balaa ilaa ndani ya week tu tayariii kazi imeishaa...
 
Mkuu, huoni kwamba nikitumia muda mrefu bila kumwambia lengo naweza kupoteza
 
Usiogope mkuu yeye n mtu mzima na wewe pia.Mpigie mueleze nia yako ya kutaka kuanzisha safari ya kwenda ndoani naye atakuelewa.
Kukataliwa si dhambi sisi ni wanaume na kuna kupata na kukosa.
Ila make sure una chimba file lake kitaa kwao huko usije lishwa tango mwitu.
Akhasante saana Mkuu, nshaanza kufunguka na Alhamudulillah kaanza kunielewa.
Ninachotaka kuepuka ni yale makosa ambayo wengi tunayafanya mwanzoni bila kujua mwisho wa siku mambo yanaharibika
 
Mwanamke atabehave the way Unavyomchukuliaa si jinsi alivyoo...!! sasaa wewe jikute unamuonaa mtakatifu Sana akati humjui vizuri... Me nlipata Kama huyoo ni mshikaa dini balaa ilaa ndani ya week tu tayariii kazi imeishaa...
Usemacho ni kweli Mkuu, na hicho ndoo moja ya sababu ya mimi kuomba MAWAZO na USHAURI kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom