naomba ushauri:Matofali ya kuchoma ktk ujenzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba ushauri:Matofali ya kuchoma ktk ujenzi.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by JokaKuu, Dec 23, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..naomba ushauri kuhusu matumizi ya matofali ya kuchoma ktk ujenzi.

  ..what are the advantages/disadvantages za matumizi yake ktk ujenzi.

  ..najua vijijini wako mafundi wanaoyamudu matofali haya, je mjini kama DSM na Arusha kuna mafundi wazuri?

  ..vipi kuhusu value ya nyumba iliyojengwa kwa matofali ya kuchoma ikiwa nitaamua kuiuza?
   
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwanza unataka kulinganisha na matofali ya aina gani au mawe?

  Matofali ya kuchoma ni very expansive katika ujenzi ila uzalishaji ni cheap. Gharama huja kwa sababu ya udogo wake. Kuna block za Cement siku hizi zina urefu hadi wa mita moja (blocks) na kwa hiyo kujenga inakuwa rahisi sana ingawa kuzalisha inakuwa ghali kidogo.

  Matofali ya cement kama ikitokea mawe au materials yaliyotumika kuzalisha cement yanatoa RADIATIONS basi hiyo itabaki kuwa tatizo milele.

  Ila katika UJENZI, milele kuna formula inayotumika "Siku zote tumia building materials iyoyopo karibu". Kama karibu ni matofali basi ni matofali. Kama ni mawe basi iwe mawe na kama ni cement ipo karibu kama Dar na matofali ya kuchoma yako mbali, basi tumia cement. Vinginevyo gharama zitapanda sana.

  Uuzaji wake unategemea umejengea materials gani na wapi (soma juu) ingawa hii si sababu kubwa. Milele kwenye ujenzi gharama kubwa ni FINISHING.
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,114
  Trophy Points: 280
  ..vipi kuhusu eneo ambalo udongo wa matofali ya kuchoma, na mchanga na cement kwa matofali ya kawaida, vyote vipo karibu.

  ..na-appreciate ur insight kuhusu hii principle: "Siku zote tumia building materials iyoyopo karibu".

  ..pamoja na mambo mengine natafuta mbinu za kupunguza gharama za ujenzi kuanzia hatua za awali. siyo kwenye finishing tu.
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ni vizuri kutumia vitu natural. Ukiwa na mafundi wazuri, nyumba ya matofali poa sana sana ila kama hawafahamu au wanafyatua vibaya, Brick walls hadi inatia kinyaa.

  Kwenye FINISHING kwa kweli huna ujanja. Kuna vitu kibao ambavyo lazima uvifanye. Piga mahesabu ya harakara haraka utaona kipi kinafaa. Mengineyo ni kuwa itategemea mafundi wako wakoje. Kama ni wazuri basi kila nyumba ni poa sana.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 5. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Vipi kuhusu kutumia Interlock Blocks...ambayo ni mchanganyiko wa Udongo na Cement..pia yanatumi Cement kidogo sana kwenye kujenga.

  Angalia video hapa:

  na pia hapa

  Na iwapo ungependa kujua zaidi nistue nikupatie namba ya Civil Engineer ambaye amejenga nyumba yake Kilimanjaro kwa Matofali hayo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...