Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,058
- 64,015
Wewe ndio wa kumbadilisha huyo mwanaume na umsaidie ili aweze kutimiza ndoto zake-we ni mtu mzima weka mazingira ya kukutanisha wazazi ili uweze kuishi na mwenzako maisha yaende;anakuwa mlevi kwa sababu akirudi home hakuna wa kumuweka bize na wa kumpa ushauri wa maana.