Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,885
Reaction score
8,478
1. Haya machaguo ni sahihi kiasi gani kwa upande wako?

2. Vipi uhakika wa kupata moja wapo, Au unahisi wapi ni rahisi zaidi kupata?

3. Kifutwe kipi au Kiongezwe kipi?

Msaada jaman maoni yako ni sahihi, Unaruhusiwa kukosoa pia.

# The Last column is for Holding Capacity

Screenshot_20220619-194703.jpg
 
Nataka kwenda chuo moja kwa moja, Advance naona mrorongo mrefu. Sasa hapo kwenye course ndo bado napata utata
 
Kama hujasoma Advance huwezi kupata diploma, labda uende certificate kwanza ndio uende diploma??

Au kwenye kada za afya wanakubali form four kwenda Diploma??
 
Kama hujasoma Advance huwezi kupata diploma, labda uende certificate kwanza ndio uende diploma??

Au kwenye kada za afya wanakubali form four kwenda Diploma??
Yah wanakubali kulingana na Guidebook za Nacte, Diploma za Afya wanazingatia cheti cha Form four tu kwa sasa. Ambapo unapga miaka 3, Ukiishia miwili unapewa Certificate ambayo utaitumia kuupgrade ukihitaj kumalizia diploma.
 
Narejesha Shukran za Dhati kwa Ushauri wenu katika Uzi huu.

Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa kunipa mimi moja ya nafasi hizo chache zilizokuepo

Pia nawashukuru wadau wote maana niliyumba sana mpaka kusimamia hapo.
Screenshot_20220815-204548_1.jpg
 
Back
Top Bottom