Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

Unamkumbuka hata kabra chuo hujaripoti, maliza kwanza chuo halafu upepo ukikaa fresh ndo uje ulete mrejesho
Ni baada ya tafiti zangu tu ambazo zimekuja kuclick na ushaur wake, Kwan kama c hivyo ningechelewa.
 
Dogo hiyo kozi nzuri sana itakutoa cheki DM hapo kuna ujumbe wako.
 
Back
Top Bottom