awamuyetu
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 329
- 166
Niko kwenye maandalizi ya kujiunga chuo kwa ajili ya kuongeza uelewa katika taaluma yangu ya ufundi, naomba kujua kwa ulinganifu kipi bora kati ya Tablet PC na Laptop.
Natanguliza shukran kwako.[emoji120][emoji120]
View attachment 2520157
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Natanguliza shukran kwako.[emoji120][emoji120]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app