Naomba ushauri, nataka kununua Toyota Rush

upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
264
250
Wakuu nimerudi tena naomba ushauri kuhusu Toyota Rush. Niliwahi kuandika kuwa ni nataka kunua rush, lakini mambo yalikuwa hayajakaa vizuri nikaahirisha lakini sasa hivi nipo tayari.

Najua Toyota ni gari nzuri lakini kuna engine tofauti tofauti na pia watu wengi utawasikia nunua gari toleo la mwaka fulani usinue toleo la mwaka fulani, na pia utawasikia watu wanasema nunua rush yenge engine fulani na ya mwaka fulani.

Swali langu; je ninunue rush toleo gani ni yenye engine gani nzuri?

Nashukuru.
 

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
2,720
2,000
Hivi Toyota rush mnavipendea nini? Fuel consumption? Ama nini? Kni gari ambazo bei ipo juu lakini ni vigari hovyo sana, ni raisi hata kubebwa na upepo, kina shape kama visuzuki vile wanavyopenda wachaga.
Suzuki Jimmy Massawe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom