westandtogether
Senior Member
- Jul 8, 2020
- 175
- 257
Dogo alikua anacheza ama anasoma 2.9 hata akipata Dit hawez kutoboaHabari wakuu,
Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
Kwa chuo private vipi hawez pata?Dah tunasikitika GPA yake ipo chini ya 3.0 hapo aende OUT
Kwelikweli kwa private hawez kupata?Dogo alikua anacheza ama anasoma 2.9 hata akipata Dit hawez kutoboa
Ok iko njia aende private anaweza pata na kitabu hakitakua kigum sanaKwelikweli kwa private hawez kupata?
Nimekupata mkuuOk iko njia aende private anaweza pata na kitabu hakitakua kigum sana
Ninachofahamu haiwezekani maana minimum entry ya TCU kwa vyuo vyote ni 3.0 GPA..labda aense Open university akasome akapandiahe GPA yake kwanza.Kwelikweli kwa private hawez kupata?
Tukiwambia pitieni form six mnakua wabishi,Habari wakuu,
Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
Sasa kama hatuna vigezo vya form 6 toforce mkuu?Tukiwambia pitieni form six mnakua wabishi,
Alafu kwann unamsingizia mdogo wako?Habari wakuu,
Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
Kama Hawa huwa wanatoka na Gpa za 4.5 and above
πππ Kwa kweliKama Hawa huwa wanatoka na Gpa za 4.5 and above