Naomba ushauri kuhusu dini

Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.

Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Tuache upumbavu
Wewe ulishawahi kupewa nafasi na wazazi wako uchague dini au ulikuta wazazi ni waislam nawe ukawa huko? Tuache huo ujinga wa kudhani dini fulani ina haki sana mbele za Mungu. Mungu angelitaka angefuta na kubakiza dini 1 ulimwenguni. Mimi mwenyewe nimezaliwa familia ya kiislam, na nina ndugu zangu ni maulamaa ukienda kwetu Bukoba, lakini siongei maneno makali kwa watu wa imani tofauti na mimi.
 
Bado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??
Sioni ubaya wowote wa wewe kubadili dini maana huko unakotaka kuingia ndio kunakupa amani zaidi,songa mbele baba Mungu ana kusudi na wewe ndani ya ukristo na zaidi sana sikiliza huo moyo wako na amani ya Kristo ikuongoze
 
Mkuu dini sio kabila kwamba huwezi kubadili. Kingine hizi dini tumeletewa na zote zinamuabudu Mungu mmoja. Sali dini ambayo inakupa amani ya moyo. Maisha mafupi na magumu sana kuanza kuumiza kichwa uwe dini gani wakati tayari umeshaoneshwa dini sahihi ya kuifata.

Kuhusu watoto ningependa kufahamu baba yao (mumeo) ni dini gani?
 
Kwani wewe hupendi wanawake mabikira 72 utayopewa huko akhera! Nakushauri komaa na uislamu shekh.
 
Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.

Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo?

Jibu hayo maswali mawili nijue una upopoma kiasi gani.
 
Unasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.

Istoshe katika dini pekee iliyokataza Ushirikina ni Uisilamu,
 
Eti katika dini pekee iliokataza ushirikina ni uislamu. Hivi unajua uko duniani kuna dini ya Buddha na Hindu (ukiacha ukristo na uislamu)? Hizo dini zote umezipitia na kuona ni uislamu pekee unaokataza ushirikina?

Nimeona una uwezo mdogo sana wa kujaji mambo, umekaririshwa na kumezeshwa nawe unayatapika hivo hivo. Kiufupi AKILI YAKO HAINA AKILI.
 
Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo?

Jibu hayo maswali mawili nijue una upopoma kiasi gani.
Hili neno ukafiri mwanzo nilikuwa naliona neno baya sana ila nilipokuja kufahamishwa nikaona sawa tu acha ikae hivyo.Kafiri ni yule asiyeamini katika uislamu kwahiyo hakuna shida yyte muislamu akimuita mkristo ni kafiri unless labda niliingizwa Chaka kuhusu tafsir ya hilo neno.
 
Asee ndo nimeona Google hiyo ndo maana yake,nashukuru kwa ufafanuzi. Ukafiri kumbe is not a big deal.
 
Awe msaada kuwapotosha wengine ili wangine ili waanze kupata adhabu ya Kaburi baada ya kufa
Sikiliza nafsi yako inakwambia nini
Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.

Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
 
kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma
Ni ipi ilikuwa ‘Aqidah na Manhaj yako huko zamani?
mmmh!
kusali kiislam
mmh!
Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
Nina maswali mengi. Ila ngoja nikae kimya.

cc Kisai Kazakh destroyer naombeni muweke neno hapa.

رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْهَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ

“Our Lord, let not our hearts deviate after You have guided us and grant us from Yourself mercy. Indeed, You are the Bestower.” (Qur’an 3:8)

Ewe Mwenye kuzigeuza Nyoyo, uthibitishe Moyo wangu katika Dini yako.
 
Eti katika dini pekee iliokataza ushirikina ni uislamu
emoji16.png
emoji16.png
. Hivi unajua uko duniani kuna dini ya Buddha na Hindu (ukiacha ukristo na uislamu)? Hizo dini zote umezipitia na kuona ni uislamu pekee unaokataza ushirikina?

Nimeona una uwezo mdogo sana wa kujaji mambo, umekaririshwa na kumezeshwa nawe unayatapika hivo hivo. Kiufupi AKILI YAKO HAINA AKILI.
Ungekuwa na uwezo mkubwa usingekuwepo hapo ulipo ndugu yangu,kwenye kila aina ya mapungufu,
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Ndugu sikia yaweza nitakachokwambia mimi kikawa na msaada kuliko unavofikiri japo umetoka katika giza ila bado hakuna mwanga machoni pako mtafute Yesu Okoka na ufanye mapenzi yake
 
Unasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.

Istoshe katika dini pekee iliyokataza Ushirikina ni Uisilamu,
Yaani wewe unanilinganisha Mimi ninayeabudu Mungu mmoja Allah na hao wanaoabudu Masanamu,au n'gombe?hao ujilinganishe na wewe mwenzao muabudu masanamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom