Tuache upumbavuKwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Sioni ubaya wowote wa wewe kubadili dini maana huko unakotaka kuingia ndio kunakupa amani zaidi,songa mbele baba Mungu ana kusudi na wewe ndani ya ukristo na zaidi sana sikiliza huo moyo wako na amani ya Kristo ikuongozeBado sijafanya maamuzi japo nasukumwa sana na moyo wangu ila sielewi nifanye nini? Nibak ambapo nimezaliwa au niende moyo wangu unapopataka? Itakuaje??
Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo?Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Unasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo?
Jibu hayo maswali mawili nijue una upopoma kiasi gani.
Eti katika dini pekee iliokataza ushirikina ni uislamu. Hivi unajua uko duniani kuna dini ya Buddha na Hindu (ukiacha ukristo na uislamu)? Hizo dini zote umezipitia na kuona ni uislamu pekee unaokataza ushirikina?Unasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.
Istoshe katika dini pekee iliyokataza Ushirikina ni Uisilamu,
Hili neno ukafiri mwanzo nilikuwa naliona neno baya sana ila nilipokuja kufahamishwa nikaona sawa tu acha ikae hivyo.Kafiri ni yule asiyeamini katika uislamu kwahiyo hakuna shida yyte muislamu akimuita mkristo ni kafiri unless labda niliingizwa Chaka kuhusu tafsir ya hilo neno.Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo?
Jibu hayo maswali mawili nijue una upopoma kiasi gani.
Asee ndo nimeona Google hiyo ndo maana yake,nashukuru kwa ufafanuzi. Ukafiri kumbe is not a big deal.Hili neno ukafiri mwanzo nilikuwa naliona neno baya sana ila nilipokuja kufahamishwa nikaona sawa tu acha ikae hivyo.Kafiri ni yule asiyeamini katika uislamu kwahiyo hakuna shida yyte muislamu akimuita mkristo ni kafiri unless labda niliingizwa Chaka kuhusu tafsir ya hilo neno.
Kwanza nakupa pole sana,umesema umesoma madrasa na unaijua Dini ya kiislamu?kwa mtu anayeijua Dini ya Kiislam hawezi kuja kuomba msaada hapa jukwaani,naamini wewe ungekuwa msaada kwa wengine kuwaingiza kwenye Uisilamu.
Kama kweli ulichokifanya unakijua na malipo yako utakuwa unayajua baada ya kufa kaburini na siku ya kiaama.Kibaya zaidi unadiriki hata kuwapotosha watoto zako unawaingiza kwenye Ukafiri wakati wazazi wako wamekupa kheri zote? Nimejaribu kuandika lakini nashindwa kuuendelea,angalia wanaokupotosha wanakwambia Dini zote ni sawa,wapi na wapi? Nenda kwa wazazi wako ukawaambie kuhusu msimamo wako nazani watakusaidia zaidi
Mwache adanganywe na wazee wa kufuga maginiWote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa Wana wa Mungu.
Hivi kumbe Yesu Kristo siyo Mungu tena!Mauzauza tupu.Upo sahihi kabisa ndugu na tena Mungu anataka umjue kupitia Yesu Kristo, endelea kuwa mkristo tena shika imani yako vizuri kabisa nawe utakuwa na amani tele na kuupata ufalme wa mbinguni mwishowe. Ubarikiwe!
Ni ipi ilikuwa ‘Aqidah na Manhaj yako huko zamani?kwasabu dini ya kiislam naijua nimesama madrasa nikiwa mdogo na hakuna kitabu cha dini kina kina kinanishinda kusoma
mmmh!kuruan
mmh!kusali kiislam
Nina maswali mengi. Ila ngoja nikae kimya.Sasa wakuu nisaidieni hili ni pepo au nini? Je nibadili dini na utu uzima huu? Au nifanyaje nifute historia hii? Yaan sahiv ndiyo nazid kuzama kwenye ukristo kiasi ambacho hata wanangu nataman waanze mafundisho, au kuna sehem sijielewi?
YESU ni MUNGUHivi kumbe Yesu Kristo siyo Mungu tena!Mauzauza tupu.
Ungekuwa na uwezo mkubwa usingekuwepo hapo ulipo ndugu yangu,kwenye kila aina ya mapungufu,Eti katika dini pekee iliokataza ushirikina ni uislamu. Hivi unajua uko duniani kuna dini ya Buddha na Hindu (ukiacha ukristo na uislamu)? Hizo dini zote umezipitia na kuona ni uislamu pekee unaokataza ushirikina?
Nimeona una uwezo mdogo sana wa kujaji mambo, umekaririshwa na kumezeshwa nawe unayatapika hivo hivo. Kiufupi AKILI YAKO HAINA AKILI.
Yaani wewe unanilinganisha Mimi ninayeabudu Mungu mmoja Allah na hao wanaoabudu Masanamu,au n'gombe?hao ujilinganishe na wewe mwenzao muabudu masanamuUnasikitisha sana ndugu yangu,kuna mikoa ya wakristo wengi kama Songea,je huko hakuna Uganga?labda nikwambie uganga siyo kwenda tu kwa mpiga ramri,hata anayekupa maji ya upako sijui mafuta na vitambaa kwa kusema utapata utajiri naye ni Mganga.
Istoshe katika dini pekee iliyokataza Ushirikina ni Uisilamu,