Kuliwa ataliwa tuSiwez mpeleka mtoto wangu wa kike kwenye Military courses bora nimnunulie cherehani awe anaziba viraka.
Kuna kazi zingne sio type nzuri kwa gender ya ke sema basi tu tuna force wanao jua haya mambo watakuwa wana nielewa vizuri.
Jeshini kuna kanuni mbili tu.Siwez mpeleka mtoto wangu wa kike kwenye Military courses bora nimnunulie cherehani awe anaziba viraka.
Kuna kazi zingne sio type nzuri kwa gender ya ke sema basi tu tuna force wanao jua haya mambo watakuwa wana nielewa vizuri.
Asante mkuu
Najitahidi kweli kumshawishi abadilishe mawazo Ila bado hanielewiSiwez mpeleka mtoto wangu wa kike kwenye Military courses bora nimnunulie cherehani awe anaziba viraka.
Kuna kazi zingne sio type nzuri kwa gender ya ke sema basi tu tuna force wanao jua haya mambo watakuwa wana nielewa vizuri.
Natamani abadilishe mawazo Ila hanielewiJeshin n upuuz Sana haswa kea mtoto wakike jarbu kaz zngne
Duuu,kazi kwelikweli
1. The general never wrong
Duuuu,haya bana1. The general never wrong
2. If he wrong refer to rule number one
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Ni afadhali umjenge kielimu aendelee kusoma ili aje kuwa bidhaa adimu, kwani thamani ya elimu yake bado atakuwa nayo, kiasi kwamba wakihitajika wenye elimu unaweza kumsimamia kuliko kumruhusu aende huko akiwa bado na elimu ya chini. Hatukatai jinsia ya kike kuliwa ni lazima lakini kibaya ni kuja kuliwa kwa pupa!Duuuu,haya bana
Kweli boss,shukraniNi afadhali umjenge kielimu aendelee kusoma ili aje kuwa bidhaa adimu, kwani thamani ya elimu yake bado atakuwa nayo, kiasi kwamba wakihitajika wenye elimu unaweza kumsimamia kuliko kumruhusu aende huko akiwa bado na elimu ya chini. Hatukatai jinsia ya kike kuliwa ni lazima lakini kibaya ni kuja kuliwa kwa pupa!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app