Architecture ,lakin kwa nn usiende kwenye mambo ya technology kama AI/ML , DATA SCIENCE AND ENGINEERING,Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu.
Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma.
Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua nichague kipi kwakuwa kwasasa naona soko la ajira limekuwa gumu. Sina uzoefu wowote kuhusu kozi hizi ndio maana nimekuja kuomba ushauri wenu.
Kozi ambazo ninatamani kuzisoma ni hizi:
1. Diploma in Civil Engineering.
2. Diploma in Architecture Engineering.
3. Diploma in Pharmaceutical Sciences
4. Diploma in Laboratory in Biomedical Equipment Engineering.
5. Diploma in Nursing and Midwifery
Kozi za AI au Machine Learning (ML) zinapatikana hapa Tanzania? Hiyo data science nimeiona kwenye vyuo kadhaa.Architecture ,lakin kwa nn usiende kwenye mambo ya technology kama AI/ML , DATA SCIENCE AND ENGINEERING,
Ina maana mshahara wake ni mdogo kiasi hicho? Lengo ni kusoma na kupata ajira, suala la mshahara nitajua namna ya kulipangilia.Kama unataka kufa maskini Kasome hizo Afya mzee utakuwa na uhakika wa hela ya Kula tu
Sasa hata hiyo ajira unaweza kosa tu. Kwa hiyo lengo la kusoma siyo ajira kama unavyo sema .Ina maana mshahara wake ni mdogo kiasi hicho? Lengo ni kusoma na kupata ajira, suala la mshahara nitajua namna ya kulipangilia.
Basi soma Diploma in Nursing and Midwifery ndio kofu Pekee ya afya yenye kuajiri sana watuIna maana mshahara wake ni mdogo kiasi hicho? Lengo ni kusoma na kupata ajira, suala la mshahara nitajua namna ya kulipangilia.
Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu.
Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma.
Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua nichague kipi kwakuwa kwasasa naona soko la ajira limekuwa gumu. Sina uzoefu wowote kuhusu kozi hizi ndio maana nimekuja kuomba ushauri wenu.
Kozi ambazo ninatamani kuzisoma ni hizi:
1. Diploma in Civil Engineering.
2. Diploma in Architecture Engineering.
3. Diploma in Pharmaceutical Sciences
4. Diploma in Laboratory in Biomedical Equipment Engineering.
5. Diploma in Nursing and Midwifery
Pharmacy atakufa siku si zake..Kama unataka ajira serikalini Nashauri usome nursing kama unataka ujiajiri bas pharmaceutical ipo vizur. Nimegusia kwa kozi za afya kwa uzoefu wangu. Nb; kusomea afya ni wito hivyo sikiliza moyo wako
Uhasibu naona itakuwa ngumu, sababu kubwa ni kwamba Uhasibu haupo kwenye passion yangu kabisa, hata kwa kulazimisha.Nenda kasomee uhasibu mdogo wangu.
Kuwa flexible kijana, chukua muda ufanye utafiti mdogo tu then kasome uhasibu.Uhasibu naona itakuwa ngumu, sababu kubwa ni kwamba Uhasibu haupo kwenye passion yangu kabisa, hata kwa kulazimisha.