Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,551
- 6,518
Ahsante dadaMgeukie Mungu haraka sana.
Vita yako si ndogo.
Ahsante broChagua sehemu moja kuwa God fearing person
Vipi lakini kimaisha hali yako ipoje?Hapo kwenye ndoto....sijui maana yake nini. Nami naota sanaaa mara kwa mara nipo shule yani katika siku 7 basi 5 naota nipo shule. Tusubiri wataalamu
Pole kwa yanayokusibu
Mi naona kawaida tu kwakweli, I just thank God.Vp lakini kimaisha hali yako ipoje?
Ahsante mkuuKuna mahala niliwahi kusoma "Ukiwa unaota upo shuleni na ili hali ulishamaliza shule kitambo sana,kuna asilimia kubwa ya kiashiria cha kurudishwa nyuma katika mambo yako unayofanya hasa ya kimaendeleo". Kurudishwa uko nyuma kuna chagizwa hasa na nguvu za giza, kila la kheri mkuu!!
Nakuja mkuuKuna mahala niliwahi kusoma "Ukiwa unaota upo shuleni na ili hali ulishamaliza shule kitambo sana,kuna asilimia kubwa ya kiashiria cha kurudishwa nyuma katika mambo yako unayofanya hasa ya kimaendeleo". Kurudishwa uko nyuma kuna chagizwa hasa na nguvu za giza, kila la kheri mkuu!!
Na hata mi niliwahi kusikia hivyo mara nyingiKuna mahala niliwahi kusoma "Ukiwa unaota upo shuleni na ili hali ulishamaliza shule kitambo sana,kuna asilimia kubwa ya kiashiria cha kurudishwa nyuma katika mambo yako unayofanya hasa ya kimaendeleo". Kurudishwa uko nyuma kuna chagizwa hasa na nguvu za giza, kila la kheri mkuu!!
Mkuu mimi nimekupa tu tafsiri ya ndoto, mimi sio mnajimu,mganga, sheikh wala mchungaji.Nakuja mkuu
Lifanyie kazi swala lakoNa hata mi niliwahi kusikia hivo mara nyingi
Hata mimi nilikuwa mzito sana kwenda kweli hawa watu hawafaiWaganga matapeli tu mkuu, we focus na mambo zako ipo siku utatoboa.
Ukienda kwa mganga uwa shida haziishi ukimaliza kufungua nyota utaambiwa jiranj anakuroga,
Lakini umeniambia nikuchek pm mkuuMkuu mm nimekupa tu tafsiri ya ndoto, mimi sio mnajimu,mganga, sheikh wala mchungaji.
Hawafai utaroga sana na utapata ahueni mwezi halafu mwezi unaofuata lazma urudiHata mimi nilikuwa mzito sana kwenda kweli hawa watu hawafai
Ok mkuuNjoo pm mkuu nikusaidie