Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

Nimefanya bolt na uber na nilifanya kwa takribani safari 3001.

Kwanza ili uifurahie kazi ya bolt na uber ni vizuri gari iwe yako hapo kidogo unaweza kuiona hela.

Siku nzuri za kufanya kazi na kuwa na kijimzunguko cha fedha ni kuanzia siku ya ijumaa mpaka ijumapili.

Hesabu kwa matajiri wengi ambao wanaajiri madereva huwa wanachukua laki na nusu kwa week au elf 30 kwa siku.

Changamoto za kazi hii ni pale unapopata trip za nje ya mji mfano unaweza kupata mteja kutoka kariakoo ukampeleka mpaka bunju B but ukishamfikisha bunju B ukarudi bila abiria mpka kariakoo hivyo ikawa kazi ulofanya ni kazi bure na kitu kingine kinachoweza kukusababishia ufungiwe account ni pale unapo cancel trip.

Kama utakuwa una swali lingine la ,iada unaweza uliza hapa au hata dm ntakusaidia
 
Faida inategemea na jinsi siku ilivyo changamka, na sehemu unazopita. Kuna siku unaweza ukapata ela nyingi mpaka raha na kuna siku unaweza ukapata pesa kidogo tu. Lakini ni biashara ambayo ukiwa na nidhamu unaweza kuingiza faida nzuri. 50, 60,70 wakati mwingine mpaka laki hukosi kwa siku.

Nna uzoefu na biashara hiyo
Shukrani mkuu kwa kutoa mwangaza.
 
nimefanya bolt na uber na nilifanya kwa takribani safari 3001.

kwanza ili uifurahie kazi ya bolt na uber ni vizuri gari iwe yako hapo kidogo unaweza kuiona hela.

siku nzuri za kufanya kazi na kuwa na kijimzunguko cha fedha ni kuanzia siku ya ijumaa mpaka ijumapili.

hesabu kwa matajiri wengi ambao wanaajiri madereva huwa wanachukua laki na nusu kwa week au elf 30 kwa siku.

changamoto za kazi hii ni pale unapopata trip za nje ya mji mfano unaweza kupata mteja kutoka kariakoo ukampeleka mpaka bunju B but ukishamfikisha bunju B ukarudi bila abiria mpka kariakoo hivyo ikawa kazi ulofanya ni kazi bure na kitu kingine kinachoweza kukusababishia ufungiwe account ni pale unapo cancel trip.

kama utakuwa una swali lingine la ,iada unaweza uliza hapa au hata dm ntakusaidia
Mfano, Baada ya kutoka bunju b hauwezi park sehemu kma pale tegeta kibo Complex kusubiri trip nyingine mkuu?

Siku za j3 hadi alhamisi mapato yankuwa kidogo kwa kiasi gani?

Ma boss wanachuku laki na nusu kwa week : hapa unamaanisha hesabu ya siku tano tu ktk week?
Maana kama kwa siku ni 30 kwa week itakuwa 210,000
 
It depends na trips na muda wako wa kufanya kazi mm nilikua nakomaa nalaza 70 per 12 hours

HII BIASHARA HAILIPI (ili kulaza hiyo 70,000 kwa siku lazima uenyeke sana)

Nianze na UBER. Uber wanalipa kila kilomita sh. 450 na kila dakika sh. 80.

Tuchukulia kinadharia nimeamua ku “ request” Uber nikazunguka nayo masaa 12 na kutembea Dar kilomita 300.

Nakokotoa hesabu

Km 300 x shs. 450 = 135,000
Dakika 12x60x shs. 80 = 57,600

JUMLA NI 192,600

Kilomita 300 kwa Gari kama IST inatumia lita 33-37 inategemea na uendeshaji wa dereva

Tuchukulie lita 35x bei ya petrol sasa 2,123 = 74,305

UBER wanakata chao asilimia 25%
Kwa hiyo (25% x 192,600) - mafuta 74,305 = 70,145

Kwa hiyo dereva anabakiwa 70,145 kama gari ni yako, kama ana boss atoe hiyo t.shs 25,000 au 30,000.

Kuna malipo ya latra , insuarence, parking tickets(unaweza kuona ndogo lakini ziki accumulate ni nyingi.) Gari itahitaji service mara kwa mara maana inatembea km nyingi kwa siku

Uhalisia ni kwamba huwezi pata Request kila muda, kupata 70,000 kwa siku ni kazi kubwa sana

HASARA YA BIASHARA HII
1. Mteja aki “request” ukaenda kumchukua haulipwi kwa km ulizotembea kumfuata, malipo yanaanza pale tu mteja akiingia kwenye gari. Hiyo ni hasara kwa dereva.
2. Kuna maeneo mengi Dar ukimpeleka mteja unarudi kapa. Na hujui abiria unampeleka wapi mpaka aingie kwenye gari.
3. Dar njia nyingi ni mbovu ni kuichosha gari tu.
4. Wateja hawajui kutumia app vizuri, location alipo na alipo “pin” kwenye map ni vitu viwili tofauti. Unahangaika kumtafuta ukimuudhi ana cancel
5. App ya Uber ikikaa masaa 12 mfulizo inajizima, inakulazimisha upumzike angalau masaa 6 ndio inarudi
6. Traffic wameshaijua hii biashara usumbufu wao lazima uache “5,000”

FAIDA labda upate “tips” na kwa wageni, (wabongo hawatoi, wanalaalamika tu kwamba unaendesha taratibu ili hela iongozeke au uawapitisha kwenye foleni.) WABONGO BANA.

Kuna muda UBER wanatoa bonus au kuna mida hela inaongezeka kidogo kipindi kuanzia saa 9 alasiri au kama kuna demand kubwa ya gari

Wateja wakikuzoea wanakuwa wanakupigia simu direct, unakwepa 25% ya UBER

BOLT WANALIPA 400km na t.sh. 72 kwa dakika kama nakumbuka vizuri
 
Kulaza 70,000 kwa siku hailipi? Hizo fee (manispaa/jiji, insurance, service) unafanya kila siku? Bora hata ungesema gharama za internet bundles kuongezeka Kwa kijana anayejituma bado Uber Ni mkombozi kuliko shughuli nyingi hapa Mjini.
 
Kokotoa basi na wewe hesabu utuaminishe hilo 70,000 unaipataje kwa siku, kwa sababu kwa hesabu zangu ili uipate hiyo 70,000 lazima ufanye kazi masaa 12 bila mapumziko. Ukweli hii biashara inaweza kulipa kama gari ni yako na inakuingizia faida 30,000 mpaka 35,000 kwa siku hapo umesharudisha hela ya mafuta.
 
Kinashindikana nn kufanya kazi masaa 12 kwa kijana anayetafuta maisha?
 
HII BIASHARA HAILIPI (ili kulaza hiyo 70,000 kwa siku lazima uenyeke sana)

Nianze na UBER. Uber wanalipa kila kilomita sh. 450 na kila dakika sh. 80.

Tuchukulia kinadharia nimeamua ku “ request” Uber nikazunguka nayo masaa 12 na kutembea Dar kilomita 300.

Nakokotoa hesabu

Km 300 x shs. 450 = 135,000
Dakika 12x60x shs. 80 = 57,600

JUMLA NI 192,600

Kilomita 300 kwa Gari kama IST inatumia lita 33-37 inategemea na uendeshaji wa dereva

Tuchukulie lita 35x bei ya petrol sasa 2,123 = 74,305

UBER wanakata chao asilimia 25%
Kwa hiyo (25% x 192,600) - mafuta 74,305 = 70,145

Kwa hiyo dereva anabakiwa 70,145 kama gari ni yako, kama ana boss atoe hiyo t.shs 25,000 au 30,000.

Kuna malipo ya latra , insuarence, parking tickets(unaweza kuona ndogo lakini ziki accumulate ni nyingi.) Gari itahitaji service mara kwa mara maana inatembea km nyingi kwa siku

Uhalisia ni kwamba huwezi pata Request kila muda, kupata 70,000 kwa siku ni kazi kubwa sana

HASARA YA BIASHARA HII
1. Mteja aki “request” ukaenda kumchukua haulipwi kwa km ulizotembea kumfuata, malipo yanaanza pale tu mteja akiingia kwenye gari. Hiyo ni hasara kwa dereva.
2. Kuna maeneo mengi Dar ukimpeleka mteja unarudi kapa. Na hujui abiria unampeleka wapi mpaka aingie kwenye gari.
3. Dar njia nyingi ni mbovu ni kuichosha gari tu.
4. Wateja hawajui kutumia app vizuri, location alipo na alipo “pin” kwenye map ni vitu viwili tofauti. Unahangaika kumtafuta ukimuudhi ana cancel
5. App ya Uber ikikaa masaa 12 mfulizo inajizima, inakulazimisha upumzike angalau masaa 6 ndio inarudi
6. Traffic wameshaijua hii biashara usumbufu wao lazima uache “5,000”

FAIDA labda upate “tips” na kwa wageni, (wabongo hawatoi, wanalaalamika tu kwamba unaendesha taratibu ili hela iongozeke au uawapitisha kwenye foleni.) WABONGO BANA.

Kuna muda UBER wanatoa bonus au kuna mida hela inaongezeka kidogo kipindi kuanzia saa 9 alasiri au kama kuna demand kubwa ya gari

Wateja wakikuzoea wanakuwa wanakupigia simu direct, unakwepa 25% ya UBER

BOLT WANALIPA 400km na t.sh. 72 kwa dakika kama nakumbuka vizuri
Gharama za :-
Service , mafuta, kodi na vibali
Plus utajilipa Tshs. Ngapi, kwa muda uliofanya kazi ....
Kumbe hii biashara ina magumu yake?
 
Nimefanya bolt na uber na nilifanya kwa takribani safari 3001.

Kwanza ili uifurahie kazi ya bolt na uber ni vizuri gari iwe yako hapo kidogo unaweza kuiona hela.

Siku nzuri za kufanya kazi na kuwa na kijimzunguko cha fedha ni kuanzia siku ya ijumaa mpaka ijumapili.

Hesabu kwa matajiri wengi ambao wanaajiri madereva huwa wanachukua laki na nusu kwa week au elf 30 kwa siku.

Changamoto za kazi hii ni pale unapopata trip za nje ya mji mfano unaweza kupata mteja kutoka kariakoo ukampeleka mpaka bunju B but ukishamfikisha bunju B ukarudi bila abiria mpka kariakoo hivyo ikawa kazi ulofanya ni kazi bure na kitu kingine kinachoweza kukusababishia ufungiwe account ni pale unapo cancel trip.

Kama utakuwa una swali lingine la ,iada unaweza uliza hapa au hata dm ntakusaidia
Kaka nimekutext dm
 
Faida inategemea na jinsi siku ilivyo changamka, na sehemu unazopita. Kuna siku unaweza ukapata ela nyingi mpaka raha na kuna siku unaweza ukapata pesa kidogo tu. Lakini ni biashara ambayo ukiwa na nidhamu unaweza kuingiza faida nzuri. 50, 60,70 wakati mwingine mpaka laki hukosi kwa siku.

Nna uzoefu na biashara hiyo
We ni muongo sana
 
Hizi wenzetu mbele wanaaziita side hustle.

Hata mimi natamani siku 1 nifanye hii kazi kuongeza kipato, ili hata ukiwa na gari lisiwe tu liability, liingize pesa
Inategemea na gari lenyewe sasa! Gari zingine hazifai mfano gari 1800cc 8km/l unaifanyaje bolt na hayo mafoleni! Uende trip ubungo mbagala ikusomee 8000 wakati litre ya mafuta ni 2400 hehehe umeenda umbali wa almost kilometre 20+ kurudi ukose napo mtu, utamanage vipi? Kuna jamaa ana ki vits tu cha 990cc ila analia lia!

Hapo tairi hazijaisha oil haijadai changes!
 
HII BIASHARA HAILIPI (ili kulaza hiyo 70,000 kwa siku lazima uenyeke sana)

Nianze na UBER. Uber wanalipa kila kilomita sh. 450 na kila dakika sh. 80.

Tuchukulia kinadharia nimeamua ku “ request” Uber nikazunguka nayo masaa 12 na kutembea Dar kilomita 300.

Nakokotoa hesabu

Km 300 x shs. 450 = 135,000
Dakika 12x60x shs. 80 = 57,600

JUMLA NI 192,600

Kilomita 300 kwa Gari kama IST inatumia lita 33-37 inategemea na uendeshaji wa dereva

Tuchukulie lita 35x bei ya petrol sasa 2,123 = 74,305

UBER wanakata chao asilimia 25%
Kwa hiyo (25% x 192,600) - mafuta 74,305 = 70,145

Kwa hiyo dereva anabakiwa 70,145 kama gari ni yako, kama ana boss atoe hiyo t.shs 25,000 au 30,000.

Kuna malipo ya latra , insuarence, parking tickets(unaweza kuona ndogo lakini ziki accumulate ni nyingi.) Gari itahitaji service mara kwa mara maana inatembea km nyingi kwa siku

Uhalisia ni kwamba huwezi pata Request kila muda, kupata 70,000 kwa siku ni kazi kubwa sana

HASARA YA BIASHARA HII
1. Mteja aki “request” ukaenda kumchukua haulipwi kwa km ulizotembea kumfuata, malipo yanaanza pale tu mteja akiingia kwenye gari. Hiyo ni hasara kwa dereva.
2. Kuna maeneo mengi Dar ukimpeleka mteja unarudi kapa. Na hujui abiria unampeleka wapi mpaka aingie kwenye gari.
3. Dar njia nyingi ni mbovu ni kuichosha gari tu.
4. Wateja hawajui kutumia app vizuri, location alipo na alipo “pin” kwenye map ni vitu viwili tofauti. Unahangaika kumtafuta ukimuudhi ana cancel
5. App ya Uber ikikaa masaa 12 mfulizo inajizima, inakulazimisha upumzike angalau masaa 6 ndio inarudi
6. Traffic wameshaijua hii biashara usumbufu wao lazima uache “5,000”

FAIDA labda upate “tips” na kwa wageni, (wabongo hawatoi, wanalaalamika tu kwamba unaendesha taratibu ili hela iongozeke au uawapitisha kwenye foleni.) WABONGO BANA.

Kuna muda UBER wanatoa bonus au kuna mida hela inaongezeka kidogo kipindi kuanzia saa 9 alasiri au kama kuna demand kubwa ya gari

Wateja wakikuzoea wanakuwa wanakupigia simu direct, unakwepa 25% ya UBER

BOLT WANALIPA 400km na t.sh. 72 kwa dakika kama nakumbuka vizuri
Umemaliza mkuu naona watu wanadanganyana humu ingia uone
 
Inategemea na gari lenyewe sasa! Gari zingine hazifai mfano gari 1800cc 8km/l unaifanyaje bolt na hayo mafoleni! Uende trip ubungo mbagala ikusomee 8000 wakati litre ya mafuta ni 2400 hehehe umeenda umbali wa almost kilometre 20+ kurudi ukose napo mtu, utamanage vipi? Kuna jamaa ana ki vits tu cha 990cc ila analia lia!

Hapo tairi hazijaisha oil haijadai changes!
Atafute private zake tano tu.
 
Back
Top Bottom