Naomba ushauri jamani

Mkuu Sangarara, inaonekana kuna shida nyingi, na unashindwa kuzieleza...labda kutokana na hasira (kama ambavyo umesema mwishoni mwa uzi wako)..Tulia, andika kitu kinachoeleweka (focused) maana unasema picha, matumizi, na kulinganisha na uzi haviendani mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Sangarara leo nlikuwa nasoma kama guest tu ila umenifanya nilog in.
Eeee hilo dege ulilolivaa ni balaa.
Hapo huna mke.
Maneno mengi sina peleka kwa wazazi tena andika vizuri sana kwenye karatasi point zake toa photocopy au maandishi yaprint andika tarehe na weka sign.
Andika taratibu bila pupa kama siku tatu andika tu kila utakachokumbuka andika.
Pia peleka kama kanisani mlipofunga ndoa au msikitini.
Hivi hii midungayembe mnaitoaga wapi???????
Nimekasirika na nimehuzunika sana.
 
Mkuu nazungumzia Mamilioni ya pesa, sio kumi, ishirini. na ninaangalia huko nako kwenda, nataka kusitisha upotevu wa pesa, nilitegemea nikioa, nitazidisha nguvu za kutafuta pesa alafu kuna mtu wa kuzisimamia.

Utafutaji wangu wa pesa ni wa kukaa ofisini asubuhi hadi usiku, na muda unavyokwenda nahitajika kukaa ofisini zaidi, niliacha kazi ili niweze kusimamia pesa mwenyewe kwa kufanya mambo yangu binafsi, nimelazimika kurudi kwenye ajira, nimempa kazi ya kusimamia ujenzi wa nyumba, sikumuambia atafute pesa za kujenga nyumba lakini ameshindwa.
 
Nashukuru, na ninashukuru kwa kuliona tatizo, sababu kuna watu wameanza kuniambia kwamba nimeshindwa kutimiza wajibu wangu kama kichwa cha familia. how??

unaweza kufanya kazi umetulia wakati ukirudi nyumbani mtu analia usiku mzima kwamba na yeye anataka kuwa busy kwa kufanya biashara? Nashukuru sana dada angu.
 
Dalili zilianza mapema lakini ukaziignore

Kwa kuwa ushamjua mkeo nakushauri maswala yote ya fedha unazochuma zicontrol mwenyewe
 
kwi kwi mwenzako hapa nawaza mtu anakabidhiwa asilimia 80 ya net salary,kutembea na 5 million,ndani kuzilalia si chini ya 20 milioni kila siku.
Weee afu natembelea bmw X5 afu mr anatembelea alteza kama si gx 100.
 
Nadhani ukichwa wa familia ni uwezo wa kutafuta pesa, huo uwezo ninao mkubwa sana na unaongezeka kila siku,

Uwezo wa kutafuta pesa ni jambo moja tu kati ya mengi ndani ya kuwa kichwa cha familia.

Kuwa kichwa cha familia maana yake ni kuwa mwamuzi wa mwisho, ndio yako inakuwa ndio na hapana yako inakuwa hapana.

Kuwa na kiu ya mkeo kuwa sehemu ya mafanikio yenu hilo ni wazo zuri, lakini namna sasa ya kufikia hiyo kiu ya mafanikio kupitia mkeo hilo ni jingine.

Mwanamke siku zote lazima apate muongozo wa namna ya kuenenda toka kwa mumewe, kwa kifupi kuna namna ya kuishi na mke (Sisi wanaume wa Kikristo katika Biblia huwa tunaelekezwa tuishi na wake zetu kwa akili).

Binafsi bado naamini tatizo lipo kwako, ninaamini una maarifa machache au hekima ndogo ya namna ya kuishi na mke (picha uliyoijenga akiwa girlfriend ndiyo uloibeba hadi ndoani).

Ndoa yako haijakushinda bado, unapaswa tu kuitambua nafasi yako kama mume.

Kwa namna ulivyojieleza sioni kama kwako pesa ni tatizo, kama unaona mkeo biashara ya namna aifanyayo inamshinda tafuta namna nyingine ya biashara utayoshiriki kikamilifu kuisimamia.
 
Mmmh! Ndoa ngumu aisee,sasa hapo ndugu unamtuhumu mkeo kwamba anafuja pesa that means hana malengo ya kifamilia naww je mna watoto kwamba angeweza kufikiria future ya watoto? halfu umesema baadhi ya business parterners ni upande wa familia yake ulipomuuliza kuhusu hilo alisemaje? kwa mtazamo wangu huyo mwanamke kuna makubwa anayafanya ambayo huyafahamu na anaweza kuwa anafanya na ndugu zake,Haiwezekani mwanamke aliyeolewa akafanya maamuzi bila kumshirikisha mumewe hata kama yuko mbali angefanya hata mawasiliano ya simu,kwanini aamue yeye kama yeye kuzungusha pesa wakti ww umempa maagizo ya kumalizia nyumba? na inakuwaje unapomuuliza ili ujue ukweli anakuwa mkali lazima kuna udanganyifu hapo, fuatilia vizuri ujue pesa zinaenda wapi maana muda mwingine hawa ndugu zetu huwa wanakuwa na tamaa iliyokithiri yuko katka mazingira mazuri anapewa kila anachotaka sasa sijui nini shida
 
Mkuu nazungumzia Mamilioni ya pesa, sio kumi, ishirini. na ninaangalia huko nako kwenda, nataka kusitisha upotevu wa pesa, nilitegemea nikioa, nitazidisha nguvu za kutafuta pesa alafu kuna mtu wa kuzisimamia.

Utafutaji wangu wa pesa ni wa kukaa ofisini asubuhi hadi usiku, na muda unavyokwenda nahitajika kukaa ofisini zaidi, niliacha kazi ili niweze kusimamia pesa mwenyewe kwa kufanya mambo yangu binafsi, nimelazimika kurudi kwenye ajira, nimempa kazi ya kusimamia ujenzi wa nyumba, sikumuambia atafute pesa za kujenga nyumba lakini ameshindwa.

Mkuu ninadhani, kuna shida katika

1.Mawasiliano.
Ninadhani kama mngekuwa mnawasiliana, kwa ukaribu, haya yasingefika huku.

2. Ufuatiliaji.
Kama ulimpatia jukumu la kusimamia ujenzi wa nyumba, ingekuwa vyema kama ingekuwa ndani ya muda fulani, mf. kutokana na uwepo/upatikanaji wa pesa, kuweka malengo kuwa ni lini ujenzi unategemewa kukamilika, mfano baada ya miezi mitatu(kwa kuwa ilikuwa imefika sehemu nzuri), na tuseme labda baada ya mwezi mmoja kuweka umeme n.k.
Hii ingemfanya asimamie kwa karibu, ili kukamilisha lengo na pili ingefanya kuomba ushauri anapokwama mf. toka kwako(na kuwafanya mwe karibu zaidi).

3. Utafutaji.
Mkuu sina nia mbaya ila wakati fulani mambo haya kwa upande mwingine yanategemea uelewa (elimu).Ni ngumu sana kwa mtu asiyetafuta pesa kupewa jukumu la kusimamia jambo akalikamilisha (kwa kuwa kwa gharama anazoambiwa anaweza akakubaliana nazo kirahisi, kwa kuwa si yeye anayetafuta)..ingekuwa ni vyema kwa mtu kama huyo kuwa na chanzo gulani cha pato, ambacho kwacho anaweza kupata pesa ya kusimamia jambo jingine.

4. Matumizi.
Watu hubadilika, sisemi ndivyo mkeo alivyo, lakini nonasema kuna baadhi ya wanawake wenye kuonyesha umakini mkubwa kabla ya ndoa na baadae kuwa na mtazamo tofauti, hasa kutokana na marafiki kubadilika, kutaka kuonyesha hali tofauti kabla na baada ya ndoa! Kwa kuwa unasema hafanyi kazi yeyote, hebu katika pesa inayokuja asipate hata kidogo, kuonyesha uhitaji wako kwa sasa (simaanishi umfiche bali umweleze kwa nia njema tu, pili umfanye awe na rekodi ya matumizi (kiasi cha pesa kilichopokelewa na mchanganuo wa matumizi yake angalau kwa mwezi kama si kwa wiki.
 
kwi kwi mwenzako hapa nawaza mtu anakabidhiwa asilimia 80 ya net salary,kutembea na 5 million,ndani kuzilalia si chini ya 20 milioni kila siku.
Weee afu natembelea bmw X5 afu mr anatembelea alteza kama si gx 100.

Hahahahaha, kuwa serious, it looks funny lakini haitakiwi kuwa hivyo.
Ili kubeba mapesa namna hiyo, sijawahi kuelewa na wapo watu wanafanya hivyo wengi tu lakini wao inaeleweka, ni mapesa ya wizi,rushwa,madawa ya kulevya n.k

kwa wife japo alisingizia aina ya biashara na kunifanyia maigizo ya watu kuja home anawapatia mapesa eti kufuata mzigo na wao kumletea sijawahi kuappreciate, kwanza tabia hatarishi kwa usalama.

Kuhusu kumpa wife 80% sio kitu cha ajabu, kuna watu wanawapa 100%. Nina rafiki yangu bahati mbaya sana mapesa yake ni ya rushwa, hivyo hawezi kuyaweka bank, mke wake ndio anakaa nayo.

ndio alinunua nyumba yangu, alitoa cash na ziada, zote alizikabidhi mke wake, mwanamke hana makuu, labda kama jamaa anamlazimisha kukeep low profile, lakini tazama, wanamiliki an excellent cash breeding lodge nyumbani mwanza.

NO. haiwezekani.
 
Sasa unaangaika nn msukuma wa watu? Mwenyewe umeingia penyewe hapo kwenye mlima mrefu, kwa kuwa umegundua hayo shukuru Mungu gangamala kiume anza upya. Achana na hizi porojo za humu ndani, we ndio unajua msumari maumivu yake. Kabaki kwao moshi na aendelee kukaa hukohuko. Kwa nn uumie kufikiri wakati kisha jigaia urithi wake? Achana nae la sivyo utafukiwa soon.
 
Mkuu ninadhani, kuna shida katika

1.Mawasiliano.
Ninadhani kama mngekuwa mnawasiliana, kwa ukaribu, haya yasingefika huku.

2. Ufuatiliaji.
Kama ulimpatia jukumu la kusimamia ujenzi wa nyumba, ingekuwa vyema kama ingekuwa ndani ya muda fulani, mf. kutokana na uwepo/upatikanaji wa pesa, kuweka malengo kuwa ni lini ujenzi unategemewa kukamilika, mfano baada ya miezi mitatu(kwa kuwa ilikuwa imefika sehemu nzuri), na tuseme labda baada ya mwezi mmoja kuweka umeme n.k.
Hii ingemfanya asimamie kwa karibu, ili kukamilisha lengo na pili ingefanya kuomba ushauri anapokwama mf. toka kwako(na kuwafanya mwe karibu zaidi).

3. Utafutaji.
Mkuu sina nia mbaya ila wakati fulani mambo haya kwa upande mwingine yanategemea uelewa (elimu).Ni ngumu sana kwa mtu asiyetafuta pesa kupewa jukumu la kusimamia jambo akalikamilisha (kwa kuwa kwa gharama anazoambiwa anaweza akakubaliana nazo kirahisi, kwa kuwa si yeye anayetafuta)..ingekuwa ni vyema kwa mtu kama huyo kuwa na chanzo gulani cha pato, ambacho kwacho anaweza kupata pesa ya kusimamia jambo jingine.

4. Matumizi.
Watu hubadilika, sisemi ndivyo mkeo alivyo, lakini nonasema kuna baadhi ya wanawake wenye kuonyesha umakini mkubwa kabla ya ndoa na baadae kuwa na mtazamo tofauti, hasa kutokana na marafiki kubadilika, kutaka kuonyesha hali tofauti kabla na baada ya ndoa! Kwa kuwa unasema hafanyi kazi yeyote, hebu katika pesa inayokuja asipate hata kidogo, kuonyesha uhitaji wako kwa sasa (simaanishi umfiche bali umweleze kwa nia njema tu, pili umfanye awe na rekodi ya matumizi (kiasi cha pesa kilichopokelewa na mchanganuo wa matumizi yake angalau kwa mwezi kama si kwa wiki.

Nashukuru sana kwa ushauri wako, nitaurudia kuusoma tena na tena.

1. Kuhusu Mawasiliano, nadhani nimejitahidi sana, kama ni kikwazo ni yeye, nimeelezea hili zaidi kwenye moja ya posts zangu.

2. Ufuatiliaji, kuhusu hili, wakati nampa jukumu la kusimamia nyumba nilimpa na maelekezo ya kutosha, na kumpa jukumu la kunijulisha mara anapotaka kufanya maamuzi tofauti ili nimshauri, sikutaka kumpa mtu jukumu alafu nibaki na authority, nilitaka na nikamuamini, hivyo nilimkubalia kufanya chochote anachotaka lakini tupeane habari kabla hatujaingia chumbani kulala, nikamkabidhi na file lenye records zote za ujenzi mpaka pale ulipofikia, nilijua upele umepata mkunaji.

limitation pekee, ilikuwa ni pesa, sikutaka kukopa, hivyo nisingeweza kumpa milioni kumi hata pa, alikuwa anajua kipato chetu, ni nikamueleza hiyo ndio limit ya matumizi yetu kwa mwezi.

yeye akaibuka na agenda ya kuweka kwanza, sikuona tatizo, kila mchezaji anastyle zake, then everything went to the south.

3. Utafutaji
baada ya kufunga ndoa, tulikubaliana tumalizie ujenzi, na ukikamilika ntampa mtaji anaotaka, Japo alianzisha biashara kwa kulazimisha, niliendelea kumsupport, lakini kwa makubalino na ujenzi uanze biashara na ujenzi vifanyike kwa pamoja, na watu wa kumsaidia walikuwapo yeye ndiye aliyewafrustate, na hata alipoanza kulalamika kuhusu hasara na liquidity issues, nilimfund. nilimpatia all the support she needed japo aliendelea kujizungusha kuhusu ujenzi kwa sababu ambazo na mimi nilikuwa mjinga kuzikubali.

4. Matumizi
Mpaka leo, saa moja na dakika kumi na moja kwa majira ya afrika mashariki, hajawahi kunieleza matumizi yake nikayaelewa, hata kulist tu kwamba, saloon milioni moja, mafuta ya gari milioni tatu n.k hajawahi,
 
Mh! Pole sana kaka unatakiwa ujiatizame wapi uliteleza ili uyaweke mambo yako km yalivyokuwa. Bt kuhusu kuachana na mkeo hutakiwi kufanya maamuzi ya haraka kaa naye tena mzungumze natumai mambo yataenda sawa.pole sana kwa kuumwa kina uf,,,,, hao
 
Hiyo aya ya mwisho majanga.
 
Mh! Pole sana kaka unatakiwa ujiatizame wapi uliteleza ili uyaweke mambo yako km yalivyokuwa. Bt kuhusu kuachana na mkeo hutakiwi kufanya maamuzi ya haraka kaa naye tena mzungumze natumai mambo yataenda sawa.pole sana kwa kuumwa kina uf,,,,, hao

Mkuu sio maamuzi ya haraka, sio kwamba leo ndio nimeshtuka na kuyaona haya, nimekuwa nayaona na kujaribu kuyatatua, lakini utatuzi pekee wa busara ni kushauriana, kusameheana,na kusonga mbele huku ukitegemea mabadiriko.

Nimekuwa mvumilivu sana, sana sana sana sana, kiasi ambacho naamini hakitakiwi.
 
ulibugi step ulipompa hela eti amalizie
nyumba,kuna mambo mwanaume unatakiwa ufanye ww
kama wewe,kuna wanawake wana uji kichwani badala
ya ubongo,kumuacha haitasaidia,tafuta shughuli ufanye
mpe matumizi kama mke basi mengine ya maendeleo
fanya kivyako,kuhusu kuchat na picha muamuzi ni ww
ila poooleeee weeee!!
 
Kwa mtindo huu mbona mnanifanya hili swala la ndoa lisiwepo kwenye katiba yangu!!!
 
Ktk wanaume mabwege naweza kusema ww ni mmoja wao utampaje mwanamke mshahara wako?huyo mkeo kuna mahali hizo hela anazipeleka very soon atakumwaga akishatimiza malengo yake shauri yako tafakari chukua hatua
 
Mkuu, Baba yangu alikuwa anampatia mother mshiko wote, kisha anaanza kumuomba pesa za kwenda kunywea pombe, wakati nayashuhudia hayo, sikuhi kufukuzwa karo shuleni, nimesoma private o level mpaka a level na ndugu zangu wote, na familia ilikuwa yenye furaha na progressive sana,

nilijaribu kuendesha familia ya namna hiyo, lakini nakubali kuwajibika kwa yote yaliyotokea.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom