Naomba ushauri jamani

Naomba ushauri jamani

mmmmh mim nmesoma tu..nawaachia wenyew ndoa wampe ushaur
 
siku zote anaetafuta hela ndo anaijua thamani yake...(usione wanawake wanafanya expensive shoppings na mambo mengine, hizo zinakua hazijatoka mifukoni kwao.. mishahara yao ni ya maendeleo na mambo ya muhimu..lols:wink2::wink2🙂

ulikosea kumkabidhi pesa zote, mpe kidogo kidogo na aonyeshe alichofanyia.
alafu kua makini sana ndugu, utakufa siku si zako, hizo stress anazokupa zisije kuamsha tena magonjwa mengine
 
Mkuu pole sana,hili suala ni nyeti na pana mno linahitaji utulivu sana,ila kwenye hizo picha ndipo nnapopata tatizo kubwa zaidi!dah
 
Hizi ni Changamoto za Kijamii, ntawajuza mustakabali wake punde kidogo.
mkuu Sangarara kwanza pole sana kwa mtihani huu wa mahusiano,japo ulishatueleza ule mwingine wa afya siku za nyuma,mm aitaki kuangalia tatizo napenda nione unapata suluhisho
naomba uichukulie kama ni hali ya mapito tu,si yakudumu anza kuamini kuwa yataisha na amani itarejea nyumbani,sijui wewe ni dini gani?ila ukiwa na shida na mizigo kama hiyo usibebe kichwani utajiumiza tu,mkabidhi Mungu muweza wa yote huyo aliyekupatia mke mzuri.
jitahidi kuishi katika misingi ya ndoa na ujue majukumu yako kama kichwa cha nyumba,pia uwe tayari kusamehe na kuanza upya
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa nasema hawa watu huwa wanachezea shilingi kwenye choo cha MABANZI. Haiwezekani kwa dunia ya sasa maisha yalivyo magumu uchezee pesa bila kufanya maendeleo. Haki ya mungu jaman nimefura hapa haielezeki
 
Mimi huwa nasema hawa watu huwa wanachezea shilingi kwenye choo cha MABANZI. Haiwezekani kwa dunia ya sasa maisha yalivyo magumu uchezee pesa bila kufanya maendeleo. Haki ya mungu jaman nimefura hapa haielezeki

MankaM yaan hata mm nimechukia mm nimpate mume wa hivi c ningemshukuru Mungu na kumshikilia kwa nguvu zangu zote mume huyo ili tuzid kuwa na maendeleo for our future. Kweli penye miti hapana wajenzi
 
Last edited by a moderator:
Aisee pole sana wakati mm nahangaika lijamaa linatumbua kumbe kuna wenzangu wanaenjoy hivi... kweli Mungu hawezi kukupa wakulingana nawe...
Cha msingi hapo kaa nae chini msikilize yeye anaonaje au anatakaje then from there utaamua si tutakushauri lakini uamuzi ni wako mkuu!!
 
pole sana kaka wanawake wa sasa sio wa kuwaamin hata kidogo,hapa nilipo aliekuwa mke wangu amenidhulumu kila kitu,nilipata matatizo flan nikawa sipo,ushaur wangu washirikishe ndugu ukikaa kimya yatakukuta kama yangu kwan mi pia nilikaa kimya matokeo yake najuta,kaz nimepoteza,mali zangu nimepoteza,pole sana bro ni kama umenitonesha kitu,mbaya zaidi wa kwangu ameshirikiana na kaka yake ambae nilimsomesha kwa jasho langu!
 
Pole, umeoa kabila gani kweli?(Ufoos? Huu utani wa tindikali, hebu kaangalie labda anajenga kwao)
 
a bit complicated...bt take a serious measure against her otherwise u wil loose total...
 
Back
Top Bottom