Naomba ushauri jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Taeki-1africa, May 20, 2012.

 1. Taeki-1africa

  Taeki-1africa Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hìii jamiiforums members naomba ushauri namna ya kuchagua FAKATI za kusomea chuo kikuu bz sijui cha kusomea mchapuo wangu ni arts HGK kwa wenye expirience i need help from u na nimepata division 2 ya 12
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  somea kitu roho yako inapenda na unaona kwako itakuwa masomo marahisi
   
 3. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni ugonjwa hasa kwetu hapa tanzania, wengi huwa wanafaulu vizuri ila hawana elimu ya faculty. Na hii hupelekea wengi kusomea vitu wasivyo vipenda matokeo yake hata ufaulu huwa mdogo, kwani hiyo fani haiko moyoni. Mfano wengi hujikuta wanasomea education pasipo kutaka, simply wameshauriwa hivyo, au hata kulazimishwa.

  Nini cha kufanya: elimu ya faculty itolewe advanced level, au kuwe na hata vipeperushi vya faculty na point pia ukiisoma utakuwa nani, (utapata ajira gani) ili mtu asome na achague mwenyewe.

  Kuhusu muuliza swali: Fanya yafuatayo:-
  1. Angalia ufaulu kwa kipindi hiki je, ni mkubwa au ni wa kawaida. kama ni wa kawaida apply vyuo vya kawaida na visivyo na majina makubwa
  2.usikilize moyo wako unataka nini na ungependa uwe nani katika maisha yako (kazi uipendayo na unayohisi utaiweza).
  3 fuatilia lengo/ndoto zako,
  kwa ufaulu wako tofauti na kuapply education, achana na vyuo vikubwa vyenye majina sana, kama ud, mzumbe, udom, na vinginevyo.
  Apply kama sauti, na vinginevyo utapata na utashughulikia ndoto zako.

  Pia fahamu soko la ajira haliangalii umesomea wapi, ila unanini kichwani.
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Taeki wadau hapo chini washakushauri ipasavyo....umuhimu ujue unapenda nini na kuwa nani. ukishafahamu hayo basi uchaguzi wako wa faculty utakuwa rahisi kupindukia. na kwa masomo yako hayo masomo ya arts na social science ndo yanakufaa.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kasome bachelor of arts in geography and environmental studies udsm.
   
 6. Taeki-1africa

  Taeki-1africa Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nashukuru lakini hii fakati ya bachelor of arts in geography and environmental studies udsm.Mwisho wa siku nitakuwa nani na ajira yake nini,VILIVILE BACHELOR OF ART IN PROJECT PRANNING MANAGEMENT ANDCOMMUNITY DEVELOPMENT unakuwa nani na ajira yake nini,vilivile Bachelor of art in environmental disaster unakuwa nani i need help from u
   
 7. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  soma "ba in project planning mgnt &community devpt"....
  ila ujiandae kugonga namba za hapa na pale
   
Loading...