Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Yaani nimekumbuka lile swali la Zamani la kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito.

CC 1498 na CC 1498 ipi inakunywa Sana mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app

Toyota wanajua kwamba zote zikiwa na 1NZ basi premio mafuta yataongezeka kiasi ...ila wewe ambae umekumbuka kilo moja ya pamba endelea kumbuka na vitu vingine
 
Toyota wanajua kwamba zote zikiwa na 1NZ basi premio mafuta yataongezeka kiasi ...ila wewe ambae umekumbuka kilo moja ya pamba endelea kumbuka na vitu vingine

Haahahaaa, na jamaa alivyokuwa anakumbuka... alijiona mwenye akiiiili... kumbe ni kilaza anayejiamini.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom