Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Mkuu mama huwezi mnunukia salon car, hizi salon car tuachie sisi makamanda, hata kimuonekano haimfai mama mtu mzima kwa mama yetu mpendwa ningeshauri apate ist au rav 4 short chassis, na sio premio mkuu.
 
Unapozungumzia premio unazungumzia premio ipi??.maana kuna aina kama 5 hivi za premio
 
Mitandao ya kijamii inawafanya watu wawe wehu. Umeshindwa kabisa kuwauliza ndugu na jamaa akiwemo mhusika ukaona mahali sahihi pa kupata mawazo hayo ni hapa mjengoni.
Kama huna cha kuchangia pita kimya.....
Ushamba wako unakufanya uone mitandao ya kijamii ni tishio kwako.....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom