Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Bonobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Messages
334
Points
1,000

Bonobo

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2017
334 1,000
Mitandao ya kijamii inawafanya watu wawe wehu. Umeshindwa kabisa kuwauliza ndugu na jamaa akiwemo mhusika ukaona mahali sahihi pa kupata mawazo hayo ni hapa mjengoni.
We unawajua ndugu na jamaa zangu kama wana huo uelewa?

Acha kutoa maneno kama umekula nzi.
 
Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
988
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
988 1,000
Mmmmh...😔😔😔

Habari wakuu..?

Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo.

Mimi kama mimi, naikubali sana premio model ya kuanzia 2004 had 2006 ambayo imezoeleka kama premio new model, mapenz yangu kwa IST ni madogo mnoo ukilinganisha na premio...

Kwahyo nikawa nimepanga kuchukua premio kwa ajil ya mama angu, lakin baadhi ya watu wakasema kwa mama mtu mzima premio haitomfaa sana kimuonekano na tena hta kwenye mafuta premio itakunywa sana kuliko IST. Kauli hiz zimenibakisha na maswali mengi sana kichwan had nashindwa kuelewa...
Hivi ni kwel premio yenye 1498cc inakunywa sana kuliko Ist ya 1498cc?

Lakin pia naomba nipate ushaur kutoka kwenu, ipi ni gar ambayo itamfaa mama kwa shughuli za kwenda kutembelea ndugu na jamaa?

Naomba nipate mawazo kutoka kwenu.
Asanteni.
 
Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
988
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
988 1,000
Nmesikitika jamaa anataka kumnunulia mama yake toyota ? Ina maana magari yameisha kabisa showrooms? Si angemnunulia hata Vokswagen ya Mil 100-150? Huku akijipanga kumtafutia gari mama yake aliyemlea?
Naona kiduku lilo, ushasogea na upo tayar kuchafua uzi...
 
mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
21,798
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
21,798 2,000
Nmesikitika jamaa anataka kumnunulia mama yake toyota ? Ina maana magari yameisha kabisa showrooms? Si angemnunulia hata Vokswagen ya Mil 100-150? Huku akijipanga kumtafutia gari mama yake aliyemlea?
Yule fundi wa kutengeneza Toyota mark 2(gx 110) yako kule tabata ulimpata?
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,519
Points
2,000

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,519 2,000
Habari wakuu..?

Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo.

Mimi kama mimi, naikubali sana premio model ya kuanzia 2004 had 2006 ambayo imezoeleka kama premio new model, mapenz yangu kwa IST ni madogo mnoo ukilinganisha na premio...

Kwahyo nikawa nimepanga kuchukua premio kwa ajil ya mama angu, lakin baadhi ya watu wakasema kwa mama mtu mzima premio haitomfaa sana kimuonekano na tena hta kwenye mafuta premio itakunywa sana kuliko IST. Kauli hiz zimenibakisha na maswali mengi sana kichwan had nashindwa kuelewa...
Hivi ni kwel premio yenye 1498cc inakunywa sana kuliko Ist ya 1498cc?

Lakin pia naomba nipate ushaur kutoka kwenu, ipi ni gar ambayo itamfaa mama kwa shughuli za kwenda kutembelea ndugu na jamaa?

Naomba nipate mawazo kutoka kwenu.
Asanteni.
Ist is better for many things.
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,519
Points
2,000

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,519 2,000
Yaani nimekumbuka lile swali la Zamani la kilo moja ya pamba na kilo moja ya chuma ipi nzito.

CC 1498 na CC 1498 ipi inakunywa Sana mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaweza kuwa na cc sawa lakini kila moja ikawa na vitu vingi kuliko nyingine ambavyo vinapelekea kutofautiana ktk oil consumption mfano ac na electronic device za ndani.
 
Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,896
Points
2,000

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,896 2,000
Ushauri wangu mchulie IST au gari yoyote ambayo ni hatchback, wamama ni watu wa kubeba beba sana vimizigo, hasa kupita pita sokoni na magengeni.
 
Forum statistics

Threads 1,391,821
Members 528,473
Posts 34,090,469
Top