ni mahali gan kwa hapa dar wanafanya compression test?Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.
Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.
Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado aseeKama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.
Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.
Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
Ulichokifanya mpaka sasa ni kuondoa yale ambayo hayakuwa matatizo, usife moyo ndugu, mashine haziwezi kusema wapi panatatizo. Kwa mambo uliyoyafanya mpaka sasa ni dhahiri kunatatizo la kimakanika, ndiyo maana nashauri ufanye "leak down test".nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado asee
Kuna garage moja ya wajapan ipo maeneo ya shaurimoyo ilala hao jamaa wanaeza kumsaidia coz wamejipanga na wako vzr sana
Saint paints kitu kama hichoinaitwaje hyo garage mkuu
nmeenda hii garage bhana inaitwa SAINT PARTSSaint paints kitu kama hicho
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado asee
Mkuu tushajua huna gari ila umecopy na kupaste wazo la mwenzako hapo juu hiindio jf kila mtu Ana gari na kaenda ulayaBadili Oxygen sensor kama anavyoeleza jamaa hapo juu.
Wewe naamini una gari na unajua magariKama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
Sawa mkuu,Ila aliyeomba hakuspecify kwamba asaidiwe ushauri na wenye magari tuu,Ila humu J.f sijawahi kutana na kilaza wa aina yako yaani we ni wa hovyo sijapata ona!! Swala la mimi kuwa na gari au kutokuwa nalo linahusiana nini na huu uzi? Una uhakika gani,hata nikiwa na gari wewe litakusaidia nini wakati hatukuwahi hata kuonana hatujuani Mwisho tu nikwambie Gari ninalo ila halipo kwa Ajili ya vilaza km weweeeee!Mkuu tushajua huna gari ila umecopy na kupaste wazo la mwenzako hapo juu hiindio jf kila mtu Ana gari na kaenda ulaya
Nakubaliana na hii ya kuchen sensor kama ilivyo namba moja hapa hini:-Hello members habari,
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.
sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 Japo kwa sababu ya ubovu wa barabara & umri wa gari hata ikienda 10km/litre sio mbaya.
Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.
Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate
sasa ndugu zangun naombeni ushauri wenu namna ya kutatua hii changamoto
au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa Dar.
Asante.
tatzo n pale unaenda kwa fundi unamwambia badili catalytic converter afu anakuuliza ndo nnKama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.