Naomba ushauri gari yangu inakula sana mafuta

King999

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Messages
817
Points
1,000

King999

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2019
817 1,000
Hello members habari,

Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 Japo kwa sababu ya ubovu wa barabara & umri wa gari hata ikienda 10km/litre sio mbaya.

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni ushauri wenu namna ya kutatua hii changamoto
au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa Dar.

Asante.
 

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
715
Points
1,000

The last don

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
715 1,000
King999,
Chief mimi sio Mechanics ila nakujibu from experience,kama gari yako inatumia 5A engine, na umeshafanya services kwa kubadili oil,na plugs hope ulibadilisha pia na air cleaner/filter then jambo ambalo litasababisha kwa kiasi kikubwa ulaji huo wa mafuta ni uwiano usio sahihi wa mafuta na oxygen (fuel/air mixture) unaoingia kwenye combustion chamber.
Hivyo kwa kuendelea kutroubleshoot hiyo shida zungumza na fundi wako acheki oxygen sensor kama haina shida.
 

charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,472
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,472 2,000
Hapo kuna shda nyingi ntachambua chache kdg

Nozzel mbovu hzo..

Uchomaj wa mafuta haupo sawa je kuna mafuta mabich ktk vichwa vya plug?

Pia angalia mfumo wa upumuaji nikimaanisha exhaust systm
angalia na block cavity ya hio mashne kuanzia cylinder head panel

pia mwisho jaribu kucheck Brake pads je zmekamata sana? Maana kuna gari ukiz adjust brake sana znakamata ile brake plate so gari inakuw nzto kwenda mpaka ufosi kwa ku push throttle (mafuta)..
 

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
5,089
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
5,089 2,000
.
Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.
.
Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate
Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.
.
sasa ndugu zangun naombeni ushauri wenu namna ya kutatua hii changamoto
au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa Dar.
Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
 

Forum statistics

Threads 1,392,563
Members 528,639
Posts 34,111,506
Top