Naomba ushauri gari yangu inakula sana mafuta

Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.

Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.

Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
ni mahali gan kwa hapa dar wanafanya compression test?
 
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.

Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.

Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado asee
 
nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado asee
Ulichokifanya mpaka sasa ni kuondoa yale ambayo hayakuwa matatizo, usife moyo ndugu, mashine haziwezi kusema wapi panatatizo. Kwa mambo uliyoyafanya mpaka sasa ni dhahiri kunatatizo la kimakanika, ndiyo maana nashauri ufanye "leak down test".

Watakachofanya ni kuweka kipimio (geji ya kupima pressure) pale penye tundu la spark plug halafu mtu mmoja anapiga starter (kama vile unavyowasha gari). Kabla ya kufanya test hii mafuta huwa yanakatwa ili injini isiwake wanapopiga starter kwa sekunde 10 hivi, pressure itaongezeka kwenye chemba (cylinder) kwa kila mzunguko wa injini na hivyo kipimio kunakili kiasi cha juu kabisa cha pressure kwenye cylinder inayopimwa.

Fundi wako atafanya hivyo kwa kila cylinder na kunakili pressure anayopata.

Kila gari huwa na kiasi chake cha pressure toka kwa waundaji (manufacturer specs), hivyo kwa kulinganisha kiasi kilichorekodiwa na specs zake utaweza kujuwa kama injini yako (na hasa cylinder ipi) inatatizo. Sasa pressure za cylinder zako zote (4) zinatakiwa ziwe zinakaribiana, la sivyo injini yako itakuwa ina-leak mahali na ndiyo inaweza kuwa sababu ya kubwia mafuta mengi.

Hiyo test haiwezi kuwa na gharama kubwa na haitachukua zaidi ya dakika 20.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Sifahamu sehemu yoyote Dar wanayofanya compression test au leak down test. Nachoweza kufanya ni kuwaomba Mshana Jr, ichoboy01 na NDINDA wakushauri gereji nzuri na ya bei nafuu. Hawa ni watoto wa mjini hawawezi kukuangusha kabisa.
Kuna garage moja ya wajapan ipo maeneo ya shaurimoyo ilala hao jamaa wanaeza kumsaidia coz wamejipanga na wako vzr sana
 
Saint paints kitu kama hicho
nmeenda hii garage bhana inaitwa SAINT PARTS

Nmeenda pale naona fund ananambia eti tatzo nimeweka plug zisizo zake duuh yaan nae anabahatisha tu nauliza je mna machne yyte ya kupima tatzo?? eg compression,leakage , anajikanyaga tu
 
nmebadili fuel filter,plug wires, and everything lakn mambo bado asee
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
 
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exhaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic converter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
Wewe naamini una gari na unajua magari
 
Mkuu tushajua huna gari ila umecopy na kupaste wazo la mwenzako hapo juu hiindio jf kila mtu Ana gari na kaenda ulaya
Sawa mkuu,Ila aliyeomba hakuspecify kwamba asaidiwe ushauri na wenye magari tuu,Ila humu J.f sijawahi kutana na kilaza wa aina yako yaani we ni wa hovyo sijapata ona!! Swala la mimi kuwa na gari au kutokuwa nalo linahusiana nini na huu uzi? Una uhakika gani,hata nikiwa na gari wewe litakusaidia nini wakati hatukuwahi hata kuonana hatujuani Mwisho tu nikwambie Gari ninalo ila halipo kwa Ajili ya vilaza km weweeeee!
 
Hello members habari,

Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 Japo kwa sababu ya ubovu wa barabara & umri wa gari hata ikienda 10km/litre sio mbaya.

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni ushauri wenu namna ya kutatua hii changamoto
au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa Dar.

Asante.
Nakubaliana na hii ya kuchen sensor kama ilivyo namba moja hapa hini:-
Screenshot_2019-12-08-09-55-28.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
tatzo n pale unaenda kwa fundi unamwambia badili catalytic converter afu anakuuliza ndo nn
 
Back
Top Bottom