Naomba ushauri gari yangu inakula sana mafuta

superbug

superbug

JF-Expert Member
4,767
2,000
Sawa mkuu,Ila aliyeomba hakuspecify kwamba asaidiwe ushauri na wenye magari tuu,Ila humu J.f sijawahi kutana na kilaza wa aina yako yaani we ni wa hovyo sijapata ona!! Swala la mimi kuwa na gari au kutokuwa nalo linahusiana nini na huu uzi? Una uhakika gani,hata nikiwa na gari wewe litakusaidia nini wakati hatukuwahi hata kuonana hatujuani Mwisho tu nikwambie Gari ninalo ila halipo kwa Ajili ya vilaza km weweeeee!
Huna gari mkuu tushakushtukia
 
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
5,493
2,000
nmeenda hii garage bhana inaitwa SAINT PARTS

Nmeenda pale naona fund ananambia eti tatzo nimeweka plug zisizo zake duuh yaan nae anabahatisha tu nauliza je mna machne yyte ya kupima tatzo?? eg compression,leakage , anajikanyaga tu
Da, pole sana mkuu...ningekuwa bongo ningekuchekia mwenyewe bila malipo.

Watu wanaoongelea mambo ya emission (fuel, catalytic converter, plenum, exhaust, oxygen sensor, ignition coils n.k) watakuchanganya kwa kuwa mambo haya yote yanaweza sababishwa na mechanical issue ya engine. Compression test ni rahisi na ita "rule out" tatizo lako kwa gharama ndogo.

kwa umri wa gari yako inawezakana kabisa kuwa timing belt imelegea (wear and tear) na hivyo belt kuruka jino moja la pulley. Hii husababisha gari kukosa nguvu kwa kuwa engine inakuwa haiko synchronized na hivyo kuonekana kama inatatizo la emission. Ukifanya compression test utajuwa kiini cha tatizo lako (kama engine iko sealed vizuri au kama kuna mahali inapoteza nguvu).
Hatari sana...

Gari ina miaka 23 bado unataka ile mafuta kama mpya...
Umri wa gari siyo tatizo, kuna vitu vidogo vidogo ukivifanyia ukarabati gari inarudi kwenye kiwango cha upya.
 
King999

King999

JF-Expert Member
1,244
2,000
sawa sawa
Da, pole sana mkuu...ningekuwa bongo ningekuchekia mwenyewe bila malipo.

Watu wanaoongelea mambo ya emission (fuel, catalytic converter, plenum, exhaust, oxygen sensor, ignition coils n.k) watakuchanganya kwa kuwa mambo haya yote yanaweza sababishwa na mechanical issue ya engine. Compression test ni rahisi na ita "rule out" tatizo lako kwa gharama ndogo.

kwa umri wa gari yako inawezakana kabisa kuwa timing belt imelegea (wear and tear) na hivyo belt kuruka jino moja la pulley. Hii husababisha gari kukosa nguvu kwa kuwa engine inakuwa haiko synchronized na hivyo kuonekana kama inatatizo la emission. Ukifanya compression test utajuwa kiini cha tatizo lako (kama engine iko sealed vizuri au kama kuna mahali inapoteza nguvu).

Umri wa gari siyo tatizo, kuna vitu vidogo vidogo ukivifanyia ukarabati gari inarudi kwenye kiwango cha upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Bpk

Member
42
95
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
 
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
1,757
1,500
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
Ulaji wake wa mafuta kwenye mizunguko ya kawaida hauna tofauti na gari yangu yenye cc 2,500!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom