Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,334
Kwenye maisha yangu ni mwiko kupelekeshwa na mwanamke.Iwe kwa heri au kwa shari Na nitahakikisha ujeuri huu namrithisha mwanangu wa kiume.
What do you mean?!
Kwa hiyo alivyomaliza tu kukuambia fuata maelekezo nayokupa wala hukuhoji zaidi ukakimbilia JF?Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.
Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa"
Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake yupo hai
Na pengine ni kweli alimkimbia😃Binti ameshalishwa sumu kuwa baba ako alikukimbia ukiwa mtoto
Mambo ni mengi muda hautoshi 😂Na pengine ni kweli alimkimbia😃
Akaulizie majirani watampa jibu la uhakikaSwali tata hilo
a.mshua alikufa R.I.P
b.mshua alisepa majukumu
C.anamchukia sana mshua wake
d. Mshua anatabia za hovyo
Kuoa bint aliyelelewa na mama pekee ni hatar sana sana sana. Japo wapo wachache wenye nafuuNa pengine ni kweli alimkimbia😃
Ukiona umezaa na mmeshindwana na mwenzako fanya haraka chukua watoto. Kwa usalama wako na wao na wa mama yao.Wakina single mama wengine wanapandikiza chuki kwa watoto wao wanawachukia wazee wao bure hadi ukubwani.
We nawe;-Sasa mbona tunatidhana aisee 😒
Kwanini mkuu??Kuoa bint aliyelelewa na mama pekee ni hatar sana sana sana. Japo wapo wachache wenye nafuu
KwakweliMambo ni mengi muda hautoshi 😂
Ni bora ahaoji sasa ivi ili kama ni kushindwa ashindwe kabisa kabla hajala hasara. Lingekua jambo la kawaida asingekuja hapa kushirikisha wakuu. Ni tabia za kibinafsi na ni mbaya sana, hivyo bora aelewe sababu ili ajiridhishe kama binti yupo sawa kufanya hivyoFuata maelekezo taratiibu, ukijifanya mjuaji utamshindwa mapemaaa
Nachukiaga sana pisi zenye lugha za command! Aargh!!!Hafai huyo "fuata maelekezo niliyokupa"
Kwani yeye ni luteni, mbona commanding language.... Piga chini
Hapa ndio mimi hujisemea kuwa mwanangu tunalea wote mimi na mke wangu. Hizi mambo za kumzalisha kisha unamwacha na kuwa unamtumia pesa za mtoto, man yeye ndio atajivisha u contawa. Kila ukituma pesa akimnunulia chochote mtoto anajua mama ndio hununua kakikua ni kitendo cha kuambiwa baba yako hakukujali nilihangaika peke yangu na kwakuwa mtoto kweli hakukuona ukimletea hata kiatu kwanini asiamini. Siku hizi wanaume wameenda mbali zaidi, hata mkiwa kwenye ndo mnaishi wote hakuna mambo ya kumpa pesa chumbani, mpe sebleni mbele ya watoto na uwe clear matumizi yake inaepusha mengi sana mbeleni. Wenzetu janja janja sanaWakina single mama wengine wanapandikiza chuki kwa watoto wao wanawachukia wazee wao bure hadi ukubwani.
Tutafanyaje sasa mkuu, tumsaidie mwana kupunguza nyuzi za kulia lia ma majutoYaani swali la kujibiwa na huyo mwana mama tunaulizwa sisi, sometimes wana jukwaa tunabebeshwa mizigo isiyo yetu