Yaani hawafai, huwa wanajikuta maisha wameyapatia na kujikuta wanamaamuzi ya kishujaa na hawapendi kuwa chini... Si watu wakujenga nao familiaNachukiaga sana pisi zenye lugha za command! Aargh!!!
Wacha tu wawe wakaidi baba alikuwa na vitoto vya miaka 18 hakuwa na muda kabisa🤣🤣Mabinti ambao wamelelewa pasi uwepo wa baba huwa wakaidi sana kwa mwanaume, kuwa makini...