Naomba updates za Interview ya TANESCO

Hii post waliomba watu wengi sana wasio na sifa, hata waliopita jkt kwa mujibu waliomba, sijui kama wewe ulikuwa na vigezo.
Vigezo nlkua navyo vyote kabsa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Juzi tarehe 15 kuna jamaa yangu alifanya written interview post ya generation engineer ubungo gas plant

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Juzi tarehe 15 kuna jamaa yangu alifanya written interview post ya generation engineer ubungo gas plant

Post sent using JamiiForums mobile app
Hawa TANESCO kwa anaejua naomba atujulishe wanatumia vigezo gani kuita watu maana nashangaa wanaoitwa ni wale wale kila interview. Sifa wanazotumia ni zipi jamani upande wa electrical?

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 

wewe una taaluma gani ya Kuwa na vigezo vya kufanya kazi Tanesco na MSD?
 
Wale wa Kihansi wamepigiwa simu jioni ya leo kwa Kara ya ICT.
Ndugu habari,naomba kukutaarifu kwamba ktk maombi yako ya ICt Techncian Tanesco Kihansi umechaguliwa kuingia katika hatua ya usaili utakaofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28/7/2017 katika kituo cha kihansi. Usaili utaanza saa mbili kamili asubuhi.Kituo cha kihansi kipo pembeni kidogo mwa mji wa Mlimba hivyo,wasailiwa wote tunawaomba wafike na kupata huduma ya malazi kwa kujitegemea ktk mji wa Mlimba na utatoa taarifa utakapopata malazi na shirika litatoa huduma ya usafiri kutoka Mlimba kwenda kwenye usaili Kihansi na kuwarudisha Mlimba.
tafadhali beba vyeti vyako vyote original ulivyoombea kazi hii.Kwa ufafanuzi wowote tafadhali piga kwa namba hii.Karibu sana Kihansi!.
 
Habari wakuu....hivi kwa ambao wameshafanya interview HQ ningependa kufahamu kama written na oral zitafanyika siku moja maana nimeshapata call yao lkn nikasahau kuuliza hilo

Yes or No
 
Habari wakuu....hivi kwa ambao wameshafanya interview HQ ningependa kufahamu kama written na oral zitafanyika siku moja maana nimeshapata call yao lkn nikasahau kuuliza hilo

Yes or No
Kitengo gani HQ wameita.
 
Ndugu zangu mm nili apply HQ post ya SECURITY OFFICER deadline ilikuwa may 25 lakini mpaka sasa hakuna feedback yoyote lakini vigezo vyote ninavyo

Kwa anayejua naomba anijuze zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…