Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Bob Haisa
Kula na huu!
Chagua Mwenyewe_Bob Haisa - YouTube
Heheheeee hapo umelenga...na kausingizi kameniisha coz naupenda ila sina tukio linalonigusa!Khaaa!!
Mwenzio anaomba masamaha we unamwambia chagua mwenyewe??
Ngoja nimuongezee na huu basi
Na Weewe BY Cindy - YouTube
ngoja waje wataalamu.. pole umekosa nini mpk uombe msamaha???
Bob Haisa
Wewe inaelekea ulikuwa unaongoza sana kwa kuandika nyimbo nyuma ya madaftari!
WelcomeThanks mkuu.
Yamenikuta mkuu. Natafuta gia ya kurudisha kondoo kundini.
Hivi hujanimiss charminglady ?pole ikishindikana tupa kuleeee!!!! yan usumbuke bana, maisha yenyewe stress mtupu, kazi / biashara ndo usiseme afu bado na mtu mzima mwenye akili timamu aku-stress lol!!!!!
Hivi hujanimiss charminglady ?
Nilishakuambia achana na C6 unadengua shauri yako utaoteza bahati ooooohh
BTW Nimekumiss shemito!
Salamu zangu kwa Elizabeth Dominic
nai naizimefka zote bila chenga.. nyt nyt
Heheheeee hapo umelenga...na kausingizi kameniisha coz naupenda ila sina tukio linalonigusa!
Rusha mwingine wa mwisho aisee
Thank you!
pole ikishindikana tupa kuleeee!!!! yan usumbuke bana, maisha yenyewe stress mtupu, kazi / biashara ndo usiseme afu bado na mtu mzima mwenye akili timamu aku-stress lol!!!!!