Naomba unieleweshe utofauti wa Voltage na Current

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
672
Habarin za alfajiri wana tech wa JF.

Katika kusoma kwangu maswala ya umeme tangu o level had six na hadi sasa nimekuwa DIY (do it yourself) wa umeme hiz terms mbili nimekuwa nikizikariri na kuzielewa kwa kujibia maswali na calculation lakin kiuhalisia sijui kiutendaji zina faida au impact gani, yaan katika practical sense let's say kwenye bulb ya kutoa mwanga, if at all and if it is possible kuvary current au voltage separately kwaajili ya testing kinatokea nini.

Yaani tuseme bulb inawaka na tufanye tuongeze current wakat huo voltage iko constant kinatokea nini au tuseme tuongeze voltage wakati current iko vile vile kinatokea nini au tupunguze either of the two (yaan tufanye viceversa) what happens. Tuachane na bulb tuseme kwenye heater ya kuchemshia maji kinatokea nini tukivary either of the two (current na voltage)?

I expect plenty from you!
 
Kila kifaa kina rate yake ya voltage, ukipunguza voltage ukaongeza current kifaa hakitofanya kazi lakini ukiongeza voltage ukapunguza current kifaa kitafanya kazi kawaida
Hapo umezungumzia kama ni kufanya kazi au la afu umevary constraints zote kwa wakati mmoja mi nataka moja iwe constant nyingine iwe ina vary! Mimi namaanisha kama ukipunguza voltage au kuungeza wakati huo current ipo constant mwanga utapungua au unaongezeka na hivyo hivyo kwa current bulb itabehave vipi?
 
Voltage ni chanzo cha umeme, ambapo ukubwa wake unapimwa kwa unit inayoitwa volts. Tunaposema chanzo maana yake ni kwamba kuna points mbili zinazolinganishwa (ambapo kwa lugha nyepesi tuziite live vs neutral, au positive vs negative), moja inakuwa katika potential kubwa na nyingine katika potential ndogo. Kadiri tofauti ya potential (potential difference) inavyokuwa kubwa kati ya hizo point mbili, ndivyo ukubwa wa voltage unavyoongezeka

Current ni mtiririko wa chaji za umeme. Ili umeme utiririke ni lazima kifaa kinachotumia umeme (load) kiunganishwe katika points mbili za voltage zilizoelezewa hapo juu. Bila kuunganishwa, hakuna current itakayotiririka. Current huwa inaamuliwa na uwepo wa load. Ukubwa wa current unapimwa na kasi ya utiririkaji wa chaji za umeme. Kasi kubwa maana yake current kubwa. Kinachotofautisha kasi ya utiririkaji kati ya load moja na nyingine ni ukinzani (resistance) iliyomo ndani ya load husika. Kama load ina ukinzani mkubwa, current inakuwa ndogo, ukinzani mdogo current kubwa. Hapo tunachukulia chanzo cha umeme (voltage) haijabadilishwa, ipo ile ile. Similarly, kwa load ile ile, current itaongezeka ukiongeza voltage, na itapungua ukipunguza voltage
 
Braza nikuulize swali?
 
Katika lugha rahisi kabisa ni hivi
1.Voltage ni CHANZO (source)
ambazo zipo tuu muda wote hata kama hakuna load.
2.Current ni MAHITAJI (Demand), ambapo hakuna flow kama hakuna load

Ili kusukuma current kuendana na load yako unahitaji Voltage kuzisukuma.

Hivyo ni sawa na concept ya kisima na mteka maji, kutegemeana na ukubwa wa ndoo ndio utakavyochota maji, ambayo hayatazidi uwezo wa kisima.

Kama kuna swali uliza
 
Yaani tuseme bulb inawaka na tufanye tuongeze current wakat huo voltage iko constant kinatokea nini
Bulb ni load, ipo constant. Voltage nayo umesema iwe constant. Hapo huwezi kuongeza wala kupunguza current

... au tuseme tuongeze voltage wakati current iko vile vile kinatokea nini
Current huwa haipo hadi uweke load, kwa hiyo sio sahihi sana kufanya assumption kwamba 'current iko vile vile'. Ukiongeza voltage huku load (resistance) iko vile vile, current itaongezeka. Kwa ufupi ukitaka kubadili current, cheza na vitu viwili, voltage au/na load. Kwa huo mfano wako, ili ubadili current, either ubadili voltage au ubadilishe bulb kwa kuweka yenye power rating tofauti
 
Kila kifaa kina rate yake ya voltage, ukipunguza voltage ukaongeza current kifaa hakitofanya kazi lakini ukiongeza voltage ukapunguza current kifaa kitafanya kazi kawaida
Hakuna kitu kama hiki unapotosha

Yaani motor ya single phase 220V ubadilishe voltage upeleke 415V halafu eti ifanye kazi kawaida? Unajua umeme wewe?

Uunge low current source labda ya 10A kwenye load inayohitaji 40A halafu eti "kifaa kitafanya kazi kawaida"
 
Kila kifaa kina rate yake ya voltage, ukipunguza voltage ukaongeza current kifaa hakitofanya kazi lakini ukiongeza voltage ukapunguza current kifaa kitafanya kazi kawaida
Kwanza ili msimchanganye muuliza swali, ni vyema kuepuka kutumia neno 'kupunguza current' maana current haipunguzwi ila itapungua yenyewe utakapobadilisha voltage au load
 
Kila kifaa kina rate yake ya voltage, ukipunguza voltage ukaongeza current kifaa hakitofanya kazi lakini ukiongeza voltage ukapunguza current kifaa kitafanya kazi kawaida
Lakini pia si kwamba kila kifaa hakitofanya kazi kwa kupunguza voltage. Mfano mzuri ni hapa Bongo. TANESCO wanatoa standard voltage ya 220V hadi 240V. Lakini kuna kipindi huwa napima nakuta hadi 190V, bulb zinawaka (zinafanya kazi), TV inawaka, ila baadhi tu ya vitu sensitive kwa power kama tubelights huwa haziwezi kustart
 
Voltage ni nguvu inayotumika kusukuma current...current ndio uwezo wenyewe wa kifaa yaan load.......voltage huwa constant ila current hutegemea uwezo wa kifaa
 
Habarin za alfajiri wana tech wa JF.

Katika kusoma kwangu maswala ya umeme tangu o level had six na hadi sasa nimekuwa DIY (do it yourself) wa umeme hiz terms mbili nimekuwa nikizikariri na kuzielewa kwa kujibia maswali na calculation lakin kiuhalisia sijui kiutendaji zina faida au impact gani, yaan katika practical sense let's say kwenye bulb ya kutoa mwanga, if at all and if it is possible kuvary current au voltage separately kwaajili ya testing kinatokea nini.

Yaani tuseme bulb inawaka na tufanye tuongeze current wakat huo voltage iko constant kinatokea nini au tuseme tuongeze voltage wakati current iko vile vile kinatokea nini au tupunguze either of the two (yaan tufanye viceversa) what happens. Tuachane na bulb tuseme kwenye heater ya kuchemshia maji kinatokea nini tukivary either of the two (current na voltage)?

I expect plenty from you!
AC voltage unaweza kuifanyia adjustments simply kwa kutumia transformer au resistors, hii ni kama inavyofanyika kwenye fan, ile speed regulator ndani kuna transformer au resistors na unapopandisha na kupunguza speed kinachofanyika ni kupunguza na kuongeza voltages inayoenda kwenye fan

Kuhusu current kwenye AC tunaweza sema ni auto regulated, yaani device iliyo connected inachukua current kulingana na uwezo wake (rated current)

Uwezekano wa kupunguza current ni kama uki series vifaa viwili kwenye terminal moja ya umeme, hapo vitagawana voltage na current by half (hii ni kama vifaa hivyo vinafanana voltage na current rate)

Kuongeza current flow ni jambo lisilowezekana kwenye AC, ila kwenye DC inawezekana, ni size ya transformer secondary coil au battery cell
 
Kwanza umeme ni Electrons sio current wala voltage.
Current ni kipimio cha kwamba zime flow electrons ngap kwa sekunde moja kutoka kwenye source.
Sasa voltage yenyewe ni pressure au force iliyo tumika kuzipush hizo electrons zitoke kwa huo muda. Ukizi combine mbili ndo unapata Power sasa.
Kuhusu vifaa, vina varry sana kwenye kupokea current na voltage kutokana vinahitaj power kiasi gani.
Kumbuka current ndo umeme wenyewe na voltage ni pressure au force tu ya kufanya current iende kwa speed inayoenda ndo maana inaitwa pia emf
 
Habarin za alfajiri wana tech wa JF.

Katika kusoma kwangu maswala ya umeme tangu o level had six na hadi sasa nimekuwa DIY (do it yourself) wa umeme hiz terms mbili nimekuwa nikizikariri na kuzielewa kwa kujibia maswali na calculation lakin kiuhalisia sijui kiutendaji zina faida au impact gani, yaan katika practical sense let's say kwenye bulb ya kutoa mwanga, if at all and if it is possible kuvary current au voltage separately kwaajili ya testing kinatokea nini.

Yaani tuseme bulb inawaka na tufanye tuongeze current wakat huo voltage iko constant kinatokea nini au tuseme tuongeze voltage wakati current iko vile vile kinatokea nini au tupunguze either of the two (yaan tufanye viceversa) what happens. Tuachane na bulb tuseme kwenye heater ya kuchemshia maji kinatokea nini tukivary either of the two (current na voltage)?

I expect plenty from you!
Kwa kiswahili chepesi sana
Voltage =nguvu/ charge +/- (ve) au live na neutral
Current= kinacho fanya nguvu hiyo iweze kutembea
Watt=wepesi au uzito wa hiyo nguvu
 
Back
Top Bottom