dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,856
- 61,917
Tuachane na bulb tuseme kwenye heater ya kuchemshia maji
'current' ndio inaleta effect sio 'voltage',
ndio maana zile topic form-4 nadhani zinasema, heating effect of electric current, lighting effect of electric current and chemical effect of electric current ( electrolysis ) hakuna waliposema heating effect of electric voltage
najua kwamba voltage ina push electrons 'tuli' , ziwe in motion ( moving electrons=current ) na kazi yake imeishia hapo, 'current' ina take over kuleta 'effect' kwenye load (bulb au heater) husika
jua kuna source za aina mbili, 'constant voltage source' na 'constant current source'
a. 'constant voltage source' iko common sana, jenereta za tanesco, kwenye izi battery, zote ni constant voltage generator/source , ambapo load ( bulb au heater) itavuta current na kuleta 'effect' mf: mwanga au joto
so voltage ikizidi, current itazidi ( provided load impedance ipo unchanged ) , mwanga utazidi kua bright au joto la heater litaongezeka,
lakini kumbuka , izo nyaya na parts zingine ziko rated na maximum current itakayo handle, ukizidisha voltage sana beyond the limit, current itapanda beyond the limit na kuunguza kama ni nyaya au parts zengine za heater/bulb
kinyume chake, ukipunguza voltage, current inapungua, mwanga utakua dim au kama ni joto la heater litapungua pia
b. 'constant current source' matumizi yake yapo limited, si rahisi kukutana nazo sana, ila zipo hasa wenye mfumo wa kuchaji battery ya simu ( baadhi ya simu ) ,
battery ikiwa na charge ndogo, voltage yake inapungua, so itavuta 'charging current' kubwa kuichaji , matokeo yake battery inakua ya moto , na ikiwa inajaa , voltage ya batt inapanda , 'charging current' inashuka, matokeo yake battery inachelewa kujaa
kukwepa ilo wanaweka izo 'constant current source', kwa maana battery iwe na chaji isiwe nayo itavuta 'charging current' ileile na ujaaji unakua 'uniform'
sasa ukitumia 'constant current source' kwenye bulb au heater lengo lako litakua ni nini hasa , maana izo 'current source' zinatumika kwenye zile 'loads' zenye kubadilika 'impedance' zikiwa zina operate mf: battery being charged