BongoBonge
Member
- Mar 30, 2016
- 41
- 14
Andika vizur sentensi zako, inaonekana umekurupuka tu, au ndo kusema ili mrad na ww umeandika tu japo huna unachofahamuKwa akili hii watanzania wengi watatapeliwa, hujui kuwa DECI ni matapeli wa kimtaifa ambao huweka chambo ktk nduwano, halafu hela ulizo pewa wewe ni za wachangiaji wengine kama wewe, wala sio mtaji wa DECI na serikali walipotaka DECI waonyeshe mtaji wao ilishindikana walikuwa hawana wawo walikuwa wanacheza na michango ya watu wanakusanya kwa watu kumi wanampa mtu mmoja za watu tisa wanagonga.
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app