Naomba ukaribisho JF, hasa toka kwa WADADA SINGLE!!!

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na weledi wangu katika uchambuzi.
Karibu kwa Private msg.
Wenu JF junior member.
 
Mi naona huyu katumwa plzzzzzzz ebu kajaribu na sura ya kitabu. Utakutana na wenzako lol!
 
hivi kwanini jf inavamiwa na wavulana mapepe kama leroy
 
Last edited by a moderator:
Naamini ninyi ni maua, naamini dunia isingekuwa mahala pazuri pa kuishi bila nyie...
Basi naomba ukaribisho wenu, only those who can arouse my intellect naamini wanaweza amsha hisia zangu na weledi wangu katika uchambuzi.
Karibu kwa Private msg.
Wenu JF junior member.

...manina!
Mi mzoefu humu, JF Senior Expert, with 3000+ posts, sina couple wangu mpaka dakika hii, afu dogo uje leo utangaze azimio?
Wallah sikubali!
 
ghaaaaa....!!..hata sijui huo ujunior umeutoa wap...ungepaswa kuwa "Member" kwa mwaka mmoja...N..Y..E..G..E mshindo noma!
 
na walio album wafanyeje?

Afu wewe umeenda bandika tetesi siasa ndo unakuja kujitambulisha huku?

Ndo maana unatembea natural movement.
 
hii ni hoja au habari mchanganyiko? peleka habari zako jukwaa husika au rudi fb
 
Back
Top Bottom