Naomba ufafanuzi juu ya hili


NEW NOEL

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Messages
853
Likes
136
Points
60
NEW NOEL

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined May 21, 2011
853 136 60


Najaribu kutafsiri juu ya hili lililokuwa linaytokea lakini nakosa jibu.
Maswali kibao yananijia:
1. Je huyu binti ni mwalimu wa huyu kijana aliyepiga magoti?
2. Je huyu kijana alikuwa anataka kumkwapua pochi huyu mdada lakini akashtukiwa sasa anaomba msamaha?
3. Je ni mama yake?
4....
5...
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
28
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 28 145
Karambishwa utamu halafu akamfanyia fujo mume mwenziwe, akabaniwa sasa anapiga magoti kukubali kufanya ubia na jibaba mwenzake!
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Likes
371
Points
180
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 371 180
Huyo dada akikubali kumpa papuchi huyo kaka tu kwa jinsi anavyomdhalilisha mble ya watu, lazima kibao kigeuke itakuwa zamu yake kumpigia goti.
 
Django

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
356
Likes
3
Points
35
Django

Django

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
356 3 35
jamaa anaomba msamaha kwa demu wake, chezea kupenda wewe
 
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Messages
1,712
Likes
2
Points
135
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined May 17, 2013
1,712 2 135
Kaka ahhh samahani dada siendi tena mtaa wa pili ntakua nashinda na wewe nisamehe sirudii tena jamani
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,167
Likes
17,765
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,167 17,765 280
usiombe kufumaniwa wewe....unaweza kuwa mdogo kuliko piritoni. Niulizeni mimi
 
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
7,024
Likes
36
Points
0
Mwali

Mwali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
7,024 36 0
huyo kaka amekaa tu hapo, dada anapita njia ndio anamuuliza: kaka nini kimekukuta?
huyo jamaa kule nyuma kabisa ndie ana jibu ya maswali yetu yote, anacheki tu.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,167
Likes
17,765
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,167 17,765 280
Ukitaka nikujibu tupia fasta fasta Voucher ya buku tano, iwe ya mtandao wowote, hata uzoefu siku hizi unauzwa hautolewi bure
usha fumaniwa??? tupe habari!
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,525,978