Naomba tuwe na forum itakayohusu Elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba tuwe na forum itakayohusu Elimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtabiri, Aug 10, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Moderator,napendezwa sana na jinsi watu wanavyochambua mada mbalalimbali humu jamvini. Binafsi nimependezwa sana na jinsi wataalam wanavyodadavua thread za elimu. Natumaini tutanufaika zaidi kama kutakua na forum ya Elimu kama zilivyo zile za Siasa,Kimataifa,jokes,mahusiano na mapenzi etc. Just mtazamo wangu lakini. Naomba kuwasilisha.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Jukwaa la elimu mbona pana sana na lipo tu!!

  Wewe tu kujivinjari!!!
   
 3. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #3
  Aug 10, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ok,asante mkuu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...