Mkuu mbona na ninyi mnapenda mpongezwe kwa hilo jukumu lenu la kutafuta pesaIla na wewe unakwama sana.Wapongezwe kwa majukumu waliyopewa kiasili?Ajabu kabisa!
Na majukumu ya huyo mume ni yepiIshi naye kwa akili, hayo ni majukumu yao kama wasaidizi wa mume.
Hata wanaume pia hutaka kupongezwa kwa jukumu lao la kutafuta pesaNilitegemea utataja kitu beyond thier nature. Niwajibu wao huwezi kumsifia kuku kwa kuparua chini na kumnanga bata ambaye haparui chini ndio walivyo. Hahaha
Wewe pia uheshimiwe kwa lipiYaani wajibu wa mtu niuheshimu kivipi? Au sijakuelewa?
Kasome MWANZO 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Wajibu wangu ni kumpenda tu!
Mimi ndo nishimiwe kama mwanaume
Tembo haelemewi na mkonga wake
Ni sahihiInapendeza...